Kuwa makini sana na ndugu yako wa damu hasa yule ambaye mmeshibana

Kuwa makini sana na ndugu yako wa damu hasa yule ambaye mmeshibana

Huwezi kujua kuwa dunia ina mambo mpaka likukute jambo.........

Binadamu waone hivi hivi tunachekeana na kula pamoja....moyo wa mtu ni kiza kinene......

Ubaya au uzuri wa mwanadamu upo kwenye nafsi yake....na ndio maana Mungu hulipa mema kwa matendo mema yaliyotanguliwa na dhamira njema......

Wapo wanaoonekana kufanya mema wakiwa na dhamira mbaya na wapo wanaoonekana kufanya mabaya wakiwa na dhamira njema.....
 
Eti imani potofu.
Hivi unaweza kuelezea mechanism gani inaweza kutumika kutoka One million views mpaka elfu 1 ndani ya masaa 24?
Kila dakika moja nilikuwa napata followers 2-10 lakini ikawa ndani ya masaa 24 napata 1-5?
Screenshort hao followers nami niwaone usiwe unaongea mambo ya kufirika.
 
Sijui wewe ni dini gani lakini nitakuelezea kwa kiislamu

Kijicho ni madhara yatokanayo na mshangao wa furaha usioambatana na kumtukuza mola (kumtukuza huko aghalabu ni kusema maashaallaah). Hii maana ya kijicho siyo rasmi ukisoma vitabu utapata maana nzuri iliyotulia. Tofauti ya kijicho na uchawi ni kwamba uchawi mtu anakusudia kudhuru lakini kijicho mtu hakusudii kudhuru inatokea automatically

Tuchukulie mfano mwanamke umemtembelea dada yako aliyejifungua, baada ya kuona mtoto ukasema "dada yangu umezaa katoto kazuri sana, umetuheshimisha hatimaye nakwenda kuitwa odo, na blah blah nyingi kama tunavyojua tena wanawake. Hapo ni rahisi kitoto au mama kudhurika na kijicho. Kijicho ni jambo la kiasili linakuwa ndani ya mtu na hapa nataka niweke bayana tu kuhusu wale waganga njaa wanaodanganya na kuibia watu eti wanatibu kijicho. Dawa ni mbili tu au tatu kwenye maswala ya kijicho

Kwanza ni kuambatisha neno Maashaallaah kwenye kushangazwa kwetu na furaha zetu mfano huyo mtu hapo juu angesema aisee dada yangu umezaa katoto kazuri sana maashaallaah! Vipi kwa asiye muislamu au hata mwislamu lakini hajui? Vipi kwa msababishiwa maana neno hili tunaona linamhusu msababishaji tu?

Pili ni kujiepusha na kuexpose mambo yetu bila sababu za msingi hasa mambo ya kimaendeleo. Unakuta kwa mfano siku hizi na hizi smartphone kila kitu mtu kinachohusu maisha yake tunakijua kupitia simu yake mwenyewe. Kila afanyacho kila hatua ni lazima atupostie status kama siyo WhatsApp basi facebook nk. Amevaa vizuri status, Kala vizuri status, katoka out status, kanunua gari status, kupata nyumba status, kapata mtoto status, nk. Yaani kwenye status jambo lisilo la kimaendeleo tutakaloona ni msiba au ugonjwa tu mengine yote ni ya kumeremeza watu na kuringishia. Hapo mwenyewe anafurahia kuona viewers wamekuwa wengi kwenye status zake hizo kumbe hajui anajikaanga mwenyewe

Tatu ni kujiegemeza kwa mola muda wote. Kujiegemeza huku ni kwa dua, udhu na twahara, swala, kauli njema, swadaka, nk. Siyo kwamba kila unachojizuia nacho ndio hakitakupata hivyo lazima tukubali kwamba mola ndiye mwamuzi wa yote. Kuna nyiradi mbalimbali za kumuomba mola akukinge na madhara ya uchawi na kijicho

Mwisho ni kutibu sasa maana hizo za mwanzo zilikuwa ni kama kinga. Kama amejulikana msababishaji wa kijicho atatakiwa kutawadha (kutia/ kuchukua udhu) huku yale maji yanakingwa kisha anakwenda kuogeshwa yule aliyesibiwa na kijicho (msababishiwa). Ni ngumu kwa dunia ya leo sijui utaanzaje kumshawishi mtu afanye hivyo, maana atakuona wewe mchawi au atakwambia umemfanya yeye ni mchawi. Bora baba au mama akigundua amemdhuru mtu wa familia ni rahisi tu kumsaidia kwa njia hiyo. Kwa case yako pia kuna afadhali umesema ni mdogo wako unaweza kumwelekeza tu akakuelewa. Chukulia watu tofauti na hao, wengine mnakutana tu barabarani hujui hata watokako wala waendako! Ndiyo maana nimetangulia kusema kujiegemeza kwa mola. Mambo yote ni kwa neema tu na rehema za MwenyeziMungu. Juhudi zetu zinacheza padogo mno

Kijicho hakiishii kwa watu pekee bali kinadhuru hata mali, mifugo, miundombinu nk. Yaani mtu anaangalia tu mifugo yako lakini excitement yake inasababisha mifugo isitoe mazao ya uhakika, ikonde au hata kuanza kufa. Vivyo hivyo kwenye majumba, magari na mali nyinginezo kijicho kinaweza kusababisha zinasambaratika au zikaharibika. Kijicho pia hutofautiana kati ya mtu na mtu. Mwingine kinakuwa kikali zaidi madhara yake ya wazi na ya haraka na mwingine madhara yake ya taratibu au madogo mno
 
Ni kweli siri ni mhimu, lakini kwenye hili wa kuwa makini ni nduguyo. Maana Una Imani za kishirikina. Mimi nimefanya matangazo online kuna siku Unapata traffic mpaka unafurahi. Kuna siku mpaka unarudi kuangalia kama umelipia au umesahau maana watu hawaji kabisa kuuliza hata bei tu.
 
😂😂😂 we jamaa ni mjinga kweli yani kwa hizi akili hutokaa ufanikiwe labda ubadilike. Ukishaona mtu Kila kitu anakimbilia uchawi hata kwa vitu vidogo vidogo huyo tena ni wakupewa pole
 
Nina ndugu wengi kidogo ila kwasababu fulani nimekuwa karibu na huyu ndugu mmoja kuliko ndugu yangu mwingine yeyote.

Anajua maisha yangu almost 80%. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina nimebaini huyu ndugu ni mchawi. Yawezekana yeye mwenyewe hajijui kuwa ni mchawi ila ana uchawi ndani yake.

Jambo lolote la kimaendeleo nikimshirikisha tu sifanikiwi.

Naweza kuorodhesha hata mambo kumi ambayo tayari yalikuwa yameiva ila baada tu ya kumsimulia all things fall apart.

Kama umetoka katika familia zilizojaa chuki na uchawi kuwa makini sana. Ikiwezekana hama kabisa uhamie mkoa mwingine au nchi nyingine kwa ustawi wako.
Nitasimulia kisa kimoja tu .

Mwezi February nilianza kuwa content creator Facebook.

First day views nikapata 20 nikaona it's good move na kuamini baada ya siku 5 nitarise sana. Ninemsimulia tu kilichofuata ni majanga. Baada ya kupanda nikashuka.

Nikaacha kumsimulia huku naendelea kupambana kimya kimya mpaka majuzi per day nikawa na views laki 5 mpaka millioni 1. Nikamsimulia , kilichofuata from one million per day to under 1000 people per day.
Kila ndani ya dk moja tarehe 29-30 nilikuwa napata followers 2- 10 lakini tangu nimwambie siku iliyofuata nikapata followers chini ya 10 kwa masaa 24.
Yaani followers niliokuwa nawapata kwa dk moja nikawapata kwa masaa 24 na siku ya tarehe 01 sikupata hata followers 1.
Ndipo nikashituka kuwa huyu ndugu ni mchawi.
Be careful ndugu
Bro binadam haambiwi plan zako wanatakiwa kuona matokeo. Siri muda na maamuzi ndio mafanikio yako.
 
Kwa hiyo huyo ndugu yako ana waroga watu wasifuatilie ulichoandika ama ana roga ulichoandika kisionwe?
 
Mkuu tangu lini ndugu ukawaambia michongo yako? Michongo yako muambie Mungu tu. Hata kama una mke usimwambie hata mzazi wako. Hii ndio Dunia. Dunia ni pana. Kikulaxcho...
 
Mkuu tangu lini ndugu ukawaambia michongo yako? Michongo yako muambie Mungu tu. Hata kama una mke usimwambie hata mzazi wako. Hii ndio Dunia. Dunia ni pana. Kikulaxcho...
Unaouna uadui ni kama kansa

Inasambaa sana sasa sio jirani mzigo unahamia kwa wazazi waliokutawaza magivi yako kabla hujitambui

Karibuni mbingu mpya na nchi mpya na mji mpya huku kwa Kristo hakunaga giza

Hapa tulips hakuna maombolezo wala mauti wala maumivu jua tu kinyonge hakiingi isipokuwa wale waliomini tu Kwa Neno lake kuwa kaindoa dhambi yetu milele
 
Mkasa wako upo kweli Duniani japo kimasihara .
Kuna watu wanatia nuksi mambo yako usifanikiwe na hata ukifanikiwa yasidumu.
Kikubwa tafuta ulinzi wa kiroho either kuvaa Kinga au kuchanjwa. Utani shukuru baadae.
 
Nina ndugu
Hata yeye akikusimulia mambo yake lazima apatwe na mabalaaa, jana ilikuwa tuje tukuchane live ila jamaa akasema ngoja akupe muda labda utabadilika.

Back
Top Bottom