Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee tanga nimekaa sana miaka ya 2013 mpaka 2015 so huko raskazoni napamanya ndio watu wa tanga lakini unaambiwa tanga waja leo waondoka leo. Lakini tanga raha sana weekend inaanza alhamisi mzee.Ujinga sana, unakuta lizee linagida bia tu halina hili wala lile mkewe anapigwa na mhuni kimasihara kabisa
Noma mwanangu, saiv kuna chimbo jipya hapo tanga city lounge, ngoreme, tanga pazuri pale sabasaba, ni kwerekweche baba angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asee tanga nimekaa sana miaka ya 2013 mpaka 2015 so huko raskazoni napamanya ndio watu wa tanga lakini unaambiwa tanga waja leo waondoka leo. Lakini tanga raha sana weekend inaanza alhamisi mzee.
Aseee niliachaga tanga kukiwa na Chichi Club japo wale mademu wa ndani ndio wakali sio wale makahaba wa pale njee kilomita zimesoma aseee, pia kuna club ilifungwaga iliitwa lakassa club.Noma mwanangu, saiv kuna chimbo jipya hapo tanga city lounge, ngoreme, tanga pazuri pale sabasaba, ni kwerekweche baba angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HII IPO KITAMBO SANA HASA BEACH ZA TANGANiwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga
nadhani ndio sababu ya watu kuvutika kiasi hicho, ni shilingi elfu mbili tu kwa wateja wa kawaida wanaokuja siku moja moja, ila sijajua wale members wanaolipa kwa mwezi huwa wanalipa bei gani
Pale pale lacasa chica kuna hotel inaitwa nyumbani, ipo hadi leo, balaa lipo pale pale, watoto wanawaka kama sio wauswazi, huko nyuma mbwimbwiliko wa haja, mtoto kafungasha hadi wakati mwingine unawaza hivi akienda kukata gogo huu mzigo si unagusa sinki kweli??? Alafu wanawaka mbaya, si unajua watoto wa kimanga, rangi ya mtume OG mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Aseee niliachaga tanga kukiwa na Chichi Club japo wale mademu wa ndani ndio wakali sio wale makahaba wa pale njee kilomita zimesoma aseee, pia kuna club ilifungwaga iliitwa lakassa club.
nilirudigi one time nikaenda usiku mmoja pale Tanga City aseee watoto wa pale wana balaa kina Minah na Habiba kuanzia wahudumu wamefunga nyuma kama wote, kuliwahi kuwa na live band moja matata kipindi icho.
Kama asilimia 80 ya wachangiaji wanakubali kwa kutoa shuhuda tofauti mkuu, wewe ukibisha kuna shida gani sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulionaje Kama Wameliwa au Ndio naww muhusika katika kuwala familia ya mwanaume mwenzenu
Kabisa ila watambue ukimwi upoYa ubeach boy sio??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]