Kuwa makini unapokwenda baharini kuogelea na mke/mpenzi wako

Kuwa makini unapokwenda baharini kuogelea na mke/mpenzi wako

Niwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga

Siku za wikiendi, hasa jumamosi na jumapili utakuta nyomi la watu wamekuja kuogelea, kiingilio sio kikubwa nadhani ndio sababu ya watu kuvutika kiasi hicho, ni shilingi elfu mbili tu kwa wateja wa kawaida wanaokuja siku moja moja, ila sijajua wale members wanaolipa kwa mwezi huwa wanalipa bei gani

Basi ndugu zangu, kwenye wengi kuna mengi, suala kubwa hapa ni kwamba kama una demu wako au mkeo, cjui mchepuko wako usikubali afundishwe na mtu utakayemkuta pale, si wote wabaya, ila huwezi kumjua mzuri yupi na mbaya ni yupi, kuna tabia zinaendelea pale si nzuri.

Kuna vijana wapo pale kwa tabia za kupiga mademu tu, utawakuta wanajichesha tu pale, mara watoke waje wanywe juisi, wafanye hivi na vile, wakimuona mwanamke kaingia baharini, watajifanya kutaka kuogelea naye, tena kama ndo anajifunza kuogelea, watajifanya kumsaidia kumfundisha, watamsogeza mbali kidogo na pale walipo, huko anaenda kutafunwa wakuu, akipelekwa mbali tuu, ujue tuu anaenda kuliwa.

Kuna mzee mmoja alikuja na familia yake, mkewe si mkubwa sana, ni umri kati ya miaka 35-40, ila anaonekana bado mrembo, alikua na mabinti zake wawili, nao kama hawajapishana sana umri, watakua na utofauti wa mwaka au miaka miwili, maza akajitosa majini na binti zake, mzee yupo huku juu anajipigia zake moja moto moja baridi, wakatokea vijana wakiwa na tube za gari ndogo, wakawa wanawaambia njooni huku ndo mtajifunza vizuri kuogelea. Wakakubali, wakawavuta kimya kimya kusogea mbali kidogo, amini Mungu yule mama na mabinti zake walitafunwa na wale jamaa bila mzee kujua.

Kikubwa wanachokifanya ni kwamba ukipelekwa mbali kidogo na walipo watu, huwezi kupata msaada wowote, ila pia kama huwezi kuogelea wanatishia kukuacha kule, kwaiyo lazima utafunwe kisha unarudishwa pale walipokutoa.

Kuwa makini ukiwa swimming club na demu wako au mkeo.
ACHA UONGO...SWIMMING INA UMBALI GANI HADI WATU WASIONE...HII STORY ILIKUWA PALE COCO BEACH ENZI ZILE WADADA WANAPELEKWA KINA KIREFU KULE WEWE UNAUNGANISHIA VI-STORY VYAKO UCHWARA VYA TANGA..[emoji35]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
ACHA UONGO...SWIMMING INA UMBALI GANI HADI WATU WASIONE...HII STORY ILIKUWA PALE COCO BEACH ENZI ZILE WADADA WANAPELEKWA KINA KIREFU KULE WEWE UNAUNGANISHIA VI-STORY VYAKO UCHWARA VYA TANGA..[emoji35]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Duuuh!!! Mbona kama umekuja na chuki dizaini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe unauliza mkuu kama hujaelewa, sio swimming pool, ni beach ipo baharini kabisa, ukisikia "swimming club" ni jina tu!!! Ila inaonekana ukichwa panzi super kilaza hadi noma asee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Virusi vitakua vinaogopa maji ya chumvi vinakufa chap[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakua virusi vinaenda kuibukia kule chumvini karibu na kisosora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na zile swimming costumes zetu aah sitaki mtu anisogelee kabisa[emoji23]
Huwa zikiloana napenda sana kuangalia, mana zinaonesha kabisa jinsi Mungu alivyo fundi mkuu, tunamsifu tu ns kumtukuza, mana mbususu unaiona laivu, sema tu ndo hivyo imefunikwa na hiyo cost[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee beach boys hao na sidhani hata kama wanakua na condoms , siendi kuogelea popote pale ntaoga ndani kwangu[emoji848]
Mmmh, hawana kitu, na wengi muda wa mchana huwa ni mabodaboda, mida ya tisa tisa kumi wanajivuta zao kule maeneo, na kuna mmoja ni boda namfahamu anapaki pale coffee bar karibu na usambara hotel
 
Back
Top Bottom