Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ulijuaje kuwa huyo mama na binti zake walitafunwa??.Niwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga
Siku za wikiendi, hasa jumamosi na jumapili utakuta nyomi la watu wamekuja kuogelea, kiingilio sio kikubwa nadhani ndio sababu ya watu kuvutika kiasi hicho, ni shilingi elfu mbili tu kwa wateja wa kawaida wanaokuja siku moja moja, ila sijajua wale members wanaolipa kwa mwezi huwa wanalipa bei gani
Basi ndugu zangu, kwenye wengi kuna mengi, suala kubwa hapa ni kwamba kama una demu wako au mkeo, cjui mchepuko wako usikubali afundishwe na mtu utakayemkuta pale, si wote wabaya, ila huwezi kumjua mzuri yupi na mbaya ni yupi, kuna tabia zinaendelea pale si nzuri.
Kuna vijana wapo pale kwa tabia za kupiga mademu tu, utawakuta wanajichesha tu pale, mara watoke waje wanywe juisi, wafanye hivi na vile, wakimuona mwanamke kaingia baharini, watajifanya kutaka kuogelea naye, tena kama ndo anajifunza kuogelea, watajifanya kumsaidia kumfundisha, watamsogeza mbali kidogo na pale walipo, huko anaenda kutafunwa wakuu, akipelekwa mbali tuu, ujue tuu anaenda kuliwa.
Kuna mzee mmoja alikuja na familia yake, mkewe si mkubwa sana, ni umri kati ya miaka 35-40, ila anaonekana bado mrembo, alikua na mabinti zake wawili, nao kama hawajapishana sana umri, watakua na utofauti wa mwaka au miaka miwili, maza akajitosa majini na binti zake, mzee yupo huku juu anajipigia zake moja moto moja baridi, wakatokea vijana wakiwa na tube za gari ndogo, wakawa wanawaambia njooni huku ndo mtajifunza vizuri kuogelea. Wakakubali, wakawavuta kimya kimya kusogea mbali kidogo, amini Mungu yule mama na mabinti zake walitafunwa na wale jamaa bila mzee kujua.
Kikubwa wanachokifanya ni kwamba ukipelekwa mbali kidogo na walipo watu, huwezi kupata msaada wowote, ila pia kama huwezi kuogelea wanatishia kukuacha kule, kwaiyo lazima utafunwe kisha unarudishwa pale walipokutoa.
Kuwa makini ukiwa swimming club na demu wako au mkeo.
Jiandae na K-Y lkn???Nakazia apo alaf kingne Asante mleta mada kwa kunambia chaka jipya nikija Tanga
Tobaa sasa wenyewe wanajikingaje na magonjwa au hawajui kama watu tunaenda beach na mavirus yetu pia? Ni hatari sana hiiMmmh, hawana kitu, na wengi muda wa mchana huwa ni mabodaboda, mida ya tisa tisa kumi wanajivuta zao kule maeneo, na kuna mmoja ni boda namfahamu anapaki pale coffee bar karibu na usambara hotel
Tobaa sasa wenyewe wanajikingaje na magonjwa au hawajui kama watu tunaenda beach na mavirus yetu pia? Ni hatari sana hiiMmmh, hawana kitu, na wengi muda wa mchana huwa ni mabodaboda, mida ya tisa tisa kumi wanajivuta zao kule maeneo, na kuna mmoja ni boda namfahamu anapaki pale coffee bar karibu na usambara hotel
Mmh wewe mwenyewe kama sikuamini vile😂Labda mie utaniamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiufahari? Kuogolea ni kulekule tu mkuu, sitaki mimi😒Nenda kwa mnyamwezi huyo si beach boy, si unaona anakwambia mkaogelee kiufahari??[emoji23][emoji23][emoji23]
We si ndio utakua unajua vizuri hayo mamboDuuuuh, kwaiyo mnaingiziana maji chumvi kwenye njia za haja ndogo sio??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kamwe usiamini pwani.swimming pool na Machaka ya Tanga.Machaka yapo kibao tu[emoji23][emoji23][emoji23], ukija Tanga nishtue mkuu
Nashangaa wanaozungumzia utelezi wakati maji ya chumvi yanasababisha mchubuane kinoma yani demu anaumia sana ukimla majini akitoka hapo K inawasha balaa!Halafu baharini hakuna utelezi kiivo sababu ya yale maji. Nilishawahi kula mzigo baharini pale mikadi beach enzi hizo
AiseeMkuu kamwe usiamini pwani.swimming pool na Machaka ya Tanga.
kuna majike dume .na majike chambo utatafunwa tigo mpaka ukome. Na hauta simulia popote utapiga kimya ndo sheria yao.
Hivi utamwambia Mkeo/ best wako kuwa nililiwa Tanga beach? Tuanzie hapo....
Kama ukisema tu utakuwa bwabwa milele na watakuoa kabisaa.
Mwana/ke kwa Tanga beach hicho ni kivutio tu! Cha kukuvutia pembeni ili ukakamatwe uliwe uzuri. Na mke utaempata unaweza kula kabisaa kwa raha zako lkn utaliwa kwa kisingizio cha ugoni.
Huyu mleta mada ni wazi kuwa ni agent wao!! Na alishaliwa kitambo hataki awe peke yake.jiulize Kwa nini anafanya hivi.,?,??...
Lengo anawavutia wanaume wa kware wa penda vya bure! Ma-Dume bikra!!ambalo halijaguswa nyaa! Wamejaa Dar! Kutokea mikoani.
Cha kuwakamatia wanaume bikra wanadai wana bahati sana kwa kazi za wavuvi.wanapata kismart cha hela na samaki wengi.
Tena wanakuwaga wapole mno. Kukirimiwa dume zima aibu...Usicheke nao wale.ukiona dume pole kwa Tanga ni mtihani.
Usikubali kukirimiwa na mtu usiye mjua Tanga utaliwa kimasihara. Na mkaka hutasimulia popote!! Mko ivo.
Wengine ni wadada kabisaa warembo lkn wana mishedede si kawaida. Midume jike imejaaa Tanga.
Ninge wawekea hapa picha muone ila sababu za maadili tu.sinto fanya hivo. Wengi wa hivi walikimbilia Tanga mpaka leo sababu kuna soko!!
Usioe mke usiye mjua ukoo wake Na historia yake Tanga.onja kwanza uone km kweli ni mdada wa kweli ana maku.
Wanasingiziaga eti toa mahari kwanza mie sijawahu!mweee usithubutu. Hayaaaa!! Yangu ni hayo!!
Unadhani kuna demu atakuja kukiri aliwahi kubakwa hapa!?Ingependeza wadada wenyewe kuleta shuhuda kwa iliyowahi mkuta.
Babe twende tukaogelee mahali private this weekend! Bora kulipia pool 10K uoge kwa raha mustarehe😻Na zile swimming costumes zetu aah sitaki mtu anisogelee kabisa😂
Hujawahi kutua katika mikono ya beach Niggaz wale 😂😂😂Ila nayo yataka moyo, mtu hamjuani anaanzaje kushika shika eti kufundishana kuswim, huko ni kujitafutia kuliwa kimasihara...
huyu ni kivutio cha wakware wakaliwe kimasiharaSasa wewe ulijuaje kuwa huyo mama na binti zake walitafunwa??.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hapana sijawahi,mi sijui kuswim halafu ni muoga nadhani siku ikitokea nitaliwa "kweri kweri"Hujawahi kutua katika mikono ya beach Niggaz wale 😂😂😂
Aisee beach boys hao na sidhani hata kama wanakua na condoms , siendi kuogelea popote pale ntaoga ndani kwangu[emoji848]
Sehemu poa sana ile kwa mawido ya kusasambua mbususuHata mikadi beach pale warembo wanatafunwa balaa
Wao naonwanakuja na virusi so ngoma droo hapoTobaa sasa wenyewe wanajikingaje na magonjwa au hawajui kama watu tunaenda beach na mavirus yetu pia? Ni hatari sana hii