Kuwa makini unapokwenda baharini kuogelea na mke/mpenzi wako

Mambo ya kawaida sana hayo kwenye maneno ya kuogelea...
 
Hiyo beach ya raskazone naipata vizuri kuna siku nikiwa na staffmates tulikwenda hapo wanawake 6 na sie wanaume 2. Tukapiga vyombo wee mwishowe wadada wakataka wakaogelee. Nikawasanua wasiende mbali wala kukubali kuogelea na beach boy .mmoja akajifanya kichwa kigumu wakampeleka mbali akapigwa mtungo. Karudi hoi. Kaenda hosp kuanza PEP ili kuzuia maambukizi
 
Noma mwanangu, saiv kuna chimbo jipya hapo tanga city lounge, ngoreme, tanga pazuri pale sabasaba, ni kwerekweche baba angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo the city ndo penyewe haswaaa
 
!! lazima kucomment km hujui kitu
 
Tanga mjini bibie karibu sahare mrembo
Nije huko mnifanye jini? .....mji wa Tanga haueleweki bana ni kama wooote wachawi !! wachawi ivi!! tangu lini panya kaongea na mtu?? mweee hasa Ngamiani pale? Loool! sina hamu!!! vichaka vya Tanga Hotel vile vimejaa majini mwitu!
 
Ila jinsia 1 ndo wafundishane? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…