KUWA MAKINI unaposhoboka na wanawake barabarani!

Ki uhalisia ni muhimu kutongoza na kulala na msichana/mwanamke unaemjua angalau kidogo abc zake nje ya hapo zuia nyege mbona inawezekana
 
Leo ni habari ya kupigwa kitima habari zingine tutaongelea kesho
 
Wengi wakifikiria aibu na fedhea na vyeo walivyonavyo wanaishia kikausha tu!
Ila kesi za hivyo zipo nyingi sana nakumbuka moja kilichoniokoa ni kubadili location bila kumshirikisha

Nilishangaa majambazi wenzie kumlaumu kwanini "hamleti bwege waliempania"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila kesi za hivyo zipo nyingi sana nakumbuka moja kilichoniokoa ni kubadili location bila kumshirikisha

Nilishangaa majambazi wenzie kumlaumu kwanini "hamleti bwege waliempania"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tupe kidogo mkuu ilikuwaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…