KUWA MAKINI unaposhoboka na wanawake barabarani!

KUWA MAKINI unaposhoboka na wanawake barabarani!

Uwezekano upo. Ila ni mdogo Sana Sana.
Wadada wa Sasa wanaangalia masilahi zaidi.

Hawezi kumuuza Mchaina KWA njemba zake Isipokuwa Mchaina kazingua kupitia MAELEZO.

Bi dada akigungua Mchaina anamlipa vizuri KWA uhakika hawezi kuita njemba hata Moja.

Ila tahadhari ni nzuri.
 
Tupe kidogo mkuu ilikuwaje??
Mambo ya ujana bwana, Nilikuwa sio mtu wa kuonekana sana mtaani sasa kuna siku nilikuwa free nikasema acha nitembee tembee niujue mtaa. Nikapita kwa Mangi nichukue juice ndo nakutana na huyo mchumba baada ya salama na kila mtu kuchukua mahitaji yake tukajikuta tunaondoka kwenda uelekeo mmoja.

Baada ya stori mbili tatu na kujiulizisha kile na hiki "Nikajiongeza"😂😂😂. Tukawa tunawasiliana day after day. Sasa siku ya tukio tulipanga tukapate dinner sehemu fulani pamoja na kuuvusha usiku pamoja (eneo alichagua yeye). Baada ya kujiandaa na kutoka home kama Bahati vile machale yakanicheza nilijikuta tuu namcheki mwanangu mmoja na kumuulizia chimbo kali la kupoa hapo mjini, akanipa ramani nzima nikampitia mchumba na kubadili uelekeo wa tulipokubaliana Mwanzo.....

Nilishangaa kumuona kabadilika ghafla na simu zikawa nyingi nikimuambia apokee anajikausha.Baada ya hekaheka za hapa na pale😂😂😂 akaenda maliwato ndo nikapata nafasi ya kuona text zikiingia huku mimi ndio nikiwa main target ya huko ambako tulikuwa tuende mara ya kwanza.
 
Duh hatari, ulikuwa unaingia kwenye mfumo!
 
Itakuwa huko uchinani hakuna vikao vya wanaume, unaendaje kwa mwanamke na gest zipo kama hutaki afike kwako?
 
ha
Salamu wakuu!

Twende kwenye mada husika, Hii imetokea kweli, Kuna bi dada mmoja alikuwa anajipitia zake barabarani, ghafla ikapaki gari pembeni mwa barabara, na ndani ya gari alikuwepo mchina(mwanaume) basi akamsemesha bidada Kwa kiswahili chake kibovu, bi dada bila hiyana akampa namba, baada ya siku mbili tatu wakawa wanachati, na wakapanga kuonana na kwaajili ya kuivunja ile amri ya 6, siku ikafika, wakakutana eneo husika ambalo alilopanga yeye bi dada Tena nnje ya mji, mchina kaingia kingi, kaenda wameingia room, kabla hawajaaanza mlango ukagogwa zikaingia njemba 4, mmoja akiekti ni mume wa huyo bi dada, wakamsachi pale wakamchukulia Pesa,simu na kumwacha hoi pale na huku wakimrekodi, So umakini unahitajika wakuu pale unapotupa NDOANO!

Waweza na wewe, kutupia kisa chako,au Cha mtu, katika harakati za kitega ndoano!
Nawasilisha!
Hao wote ni wezi kuanzia huyo dada yako sasa utamjuaje mke wa mtu km yeye hasemi
 
Du, hii mbinu mbona ya siku nyingi sana. Hii na ile ya kukutana na msichana mrembo mwenye matiti saa sita, mnapoingia ndani anakumbia umnyonye matiti, ndiko mizuka yake iliko, na ukinyonya unalala fofofo kwa sababu alikuwa amepaka unga wa madawa ya kulevya ni pacha. Nyingine ni ile unampa lift mrembo halafu anafika sehemu anakuambia amefika umshushe, kabla hajashuka anaanza kuangua kilio, ''nilipe fedha zangu, umenichezea na hutaki kunipa chochote'', na kukujazia umati. Cha msingi ujue dunia ya leo siyo ile ya zamani na ukiwa mkware tegemea lolote.
Yaani nimekupa lift halafu imefika mida ya kushuka uniletee pigo sijui nipe hela yangu????

Mzee hiyo gari itaondoka kwa tyres za nyuma mwendo wa ngiri mpaka ghetto, tunaenda kuelewana ukiwa kitandani
Screenshot_20250430-095311_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom