Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

Dah, hizi mada nakosaga cha kuchangia sina experience ya ma x jamani.
 
Uaminifu kwenye mapenzi- aliyepo ni kicheche mpaka anatia kichefuchefu yaani hata mchepuko wake nao anaucheat [emoji28][emoji28][emoji28]

Toka azaliwe hajawahi kuwa loyal and faithful kwa Mwanaume yoyote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi sitakuja kuruhusu dini inaharibie furaha yangu
 
Pole kaka angu[emoji17]
 
Siwez mkumbuka ana bichwa kama dume la nyani, mwanaume gani mwembamba kama msumari.....x kafie Ukraine huko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata sisi huwa tunaambiana "Laiti tungejua!"
Kinachowazuia msiendelee ni nini mkuu? Kama hamna aliemove on achaneni na maswala ya dini. Kama suala ni ndoa hata serikalini wanafungisha.
Ni ubinafsi mkubwa mzazi kumchagua mtoto mwenza wake
 
Kinachowazuia msiendelee ni nini mkuu? Kama hamna aliemove on achaneni na maswala ya dini. Kama suala ni ndoa hata serikalini wanafungisha.
Ni ubinafsi mkubwa mzazi kumchagua mtoto mwenza wake
Mkuu kwa sasa hivi kuendelea inakuwa na kaugumu fulani, kwa sababu miaka 2 imepita tangu tumetengana, ingawa na yeye anadai hajamove on lakini miaka miwili ni mingi kwa mwanamke, kuna uwezekano alishafall kwa mtu mwingine, atleast sisi wanaume tutafanya mapenzi na mwanamke lakini still ukabaki kumpenda mwanamke yule mliyependana haswa.
Lakini niseme ukweli yeye anaamini tunaweza kurudisha mambo kama mwanzo, na ameshaniomba mara nyingi tuyajenge, lakini kwa upande wangu inakuwa ngumu kwa sababu, sitamani kuja kupitia kile kipindi tena, na ukizingatia kama alishawahi kupenda baada ya kutengana hatakuwa sawa kama mwanzo. Hayo ndiyo mambo kwenye mtazamo wangu yanayonipa wakati mgumu, kufanya maamuzi sometimes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…