Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

Nilichomiss kwake, hata tulivyoachana ila nilikuwa nikihitaji kupasha kiporo alikuwa ananikubalia mpaka alipoenda kuolewa mkoa mwingine.
 
Mkuu kwa sasa hivi kuendelea inakuwa na kaugumu fulani, kwa sababu miaka 2 imepita tangu tumetengana, ingawa na yeye anadai hajamove on lakini miaka miwili ni mingi kwa mwanamke, kuna uwezekano alishafall kwa mtu mwingine, atleast sisi wanaume tutafanya mapenzi na mwanamke lakini still ukabaki kumpenda mwanamke yule mliyependana haswa.
Lakini niseme ukweli yeye anaamini tunaweza kurudisha mambo kama mwanzo, na ameshaniomba mara nyingi tuyajenge, lakini kwa upande wangu inakuwa ngumu kwa sababu, sitamani kuja kupitia kile kipindi tena, na ukizingatia kama alishawahi kupenda baada ya kutengana hatakuwa sawa kama mwanzo. Hayo ndiyo mambo kwenye mtazamo wangu yanayonipa wakati mgumu, kufanya maamuzi sometimes.
Kabisa me pia nna hali kama hiyo,ila nimeshamwambia hata tukirudiana hakuna kipya ntacho offer sana tutamwagana tena so asonge mbele.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Ku date na yule Mbwa ilkua ni mistake na miss ile siku nilio liacha, nataman ijirudie niliache tena
 
Dem alikuwa ana mkwanja balaaa....si unajua tena hawa ma lastborn kipenzi cha baba. Kanunuliwa gari, pesa kila mwisho wa mwezi benki kwa hiyo ni mwendo wa atm, mamake naye pocket money za hapa na pale. Halafu wazazi wake ni wale wa kishua, washazeeka zeeka kwa hiyo sio geti kali.

Mtoto anakula high grade, humkosi na pakti ya embassy...halafu gambe ni gambe kweli. Dah! Nilikula maisha aseeeee.

Akajaga maliza chuo akasepa ma ulaya, nikabaki na uafrika wangu.
 
Mkuu, tulikuwa imani tofauti, Mimi nipo RC na Yeye ni msabato, na mzee wake alikaza Mimi na mwanaye kufunga ndoa kwa sababu hakutana mwanaye kuwa Mtu wa RC, nikajiengua. Kwa hiyo hatukuachana kwa ubaya lakini tulikuwa perfect match mpaka kesho mzee. Na kama kupendana mpaka leo tunapendana, ingawa tumeamua tukubaliane na ukweli, tupo karibu tunamlea Promise tu.
Mnaua penzi kisa dini za wazungu.
 
Umenikumbusha Chausiku wangu a.k.a Nuru, ilikuwa akihisi nakalibia kumwaga, anaanza kulia kwa sauti akisema "walete wazungu...walete wadhungu(hapa aliongea huku ameng'ata meno)".
 
Ndio inatema mno Dampo likasome kwani inakuchoma......em tuliza hizo kengere ka za mtoto mdg chini......au we ndo x wangu tena ukwendreeeee kafie huko kwa wa Rundi
Unaonekana bdo bikra
 
Back
Top Bottom