Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

me nilitumia mara moja tyuu na bibie ila kilichotukia hadi yeye akasema tusiwe tunatumia , nasimamia ukucha hasaw aka mzee wa kuunganisha , before game nilivaa condom tumejisahau mautamu bibie kamaliza cha kwanza mie kama kawaida kuunganisha bibie anamaliza cha pili na me namaliza kutoa condom haipo kamebaki kale karingi tuu kamejosokota kwenye dushe mwisho karibu na msitu.

tukaacha kupongezana tukaanza kutafuta ndom ndani ya papuchi .

so siezi tumia mpaka nishuke kiwango nai niwe napiga kimoko chali
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaa!!! Jf raha sana.
 
Situmii Kondomu kwasababu demu ninayemgonga hana ngoma na nikitaka kupiga demu lazima tupime kwanza akiwa fresh ndio napiga....Mimi ni memba wa DRY CHAMA.
Naomba kukuuliza boss hasa ktk hiyo sentensi ya mwisho.
Unajua muda sahihi wa virus kuwa ditected na kipimo boss?
Na unafahamu kuwa mf,binti amelala leo na mkaka ambae ni muathiriki na tuassume ameukwaa siku hiyo hiyo,na kesho wewe ukampima ikaonyesha -ve,lkn kiuhalisiaa tyr ni muathriki!?
 
Tunapima mara mbili kwanza kabla ya yote....Nikipima mara ya kwanza kisha nasubiri miezi ki3 napima naye tena ikiwa fresh nakamua dry tu.
 
Ahaa,hapo sawa.
All the best big boss
100.png
 
Sisi ambao tunaenda nazo lakini tukianza majambozi tunakua hatuzioni,
Tunacomenti wapi!?
 
Wa kumfanyia hayo yote na yeye akakaa kusubiri hiyo miez mitatu ni mkeo mtarajiwa tu wengine wote ni siku husika kama -ve nadhani unajua kifuatacho
Anasubiri vizuri kwasababu hiko kipindi cha mpito bata kama lote.
 
Dah....hivi huwa zinatumika kabla au baada ya tendo? [emoji41]
 
Tunapima mara mbili kwanza kabla ya yote....Nikipima mara ya kwanza kisha nasubiri miezi ki3 napima naye tena ikiwa fresh nakamua dry tu.
Bado isikuaminishe...kweny siku za katikati anaweza kulala na mtu muathirika...wee ukadhani yuko fiti
 
Narudia tena hakuna mwanamme anaeweza kusubiri miezi mitatu kisa vipimo tena kwa dungahembe la kuokoteza mtaani tu labda huyo mwanamme awe na tatzo ama amenyweshwa maji ya k tusidanganyane hapa
Kwani unakuwa na m1? wakati unasubiri unaendelea kusuza kwa wa mwanzoni ambaye mliopima naye kwanza.
 
Back
Top Bottom