Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako.

Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata kidogo. Ukazingatia unadhifu na mavazi mazuri yasiyo na gharama, lakini bado watadhani wewe ni pedeshe.

Hayo yote yananikuta mimi, kila sehemu nikienda nakaribishwa kifalme kwa sababu ya muonekano tu, kumbe mfukoni ni mtu wa hali ya kawaida kabisa.

Am tired of this......
Ukiona Mwanaume au Mtoto wa Kiume anapenda kuonekana Handsome au anajisu kuwa Handsome jua Siku zake za kuwa Mpiga Mluzi / Mbinua Mchanga katika Lori wala haziko mbali sana.
 
Mimi najua uhandsome ni utanashati na unadhifu
Screenshot_20240803_123452_Chrome.jpg

Haya tafsiri ya Google.

Mtoto wa kiume unatakiwa ujisifie hustling, fighting spirit, fatherhood.

Wewe unajisifia uzuri ndio maana ni kasema,dada zangu wanakazi......
 
Sijasema nataka uhandsome uniletee ugali, nimesema nimechoshwa na vishawishi ambavyo nakutana navyo, sihitaji kuingia matatizoni
Kawaida hiyo mkuu, japo ujumbe unaweza usiwe wa kwako ila tuvijana twa sasa tunapenda kuona uhandisam ni kila kitu , wakito,,,,,,,,,wa wana anza lalama😜😜😜
 
View attachment 3060437
Haya tafsiri ya Google.

Mtoto wa kiume unatakiwa ujisifie hustling, fighting spirit, fatherhood.

Wewe unajisifia uzuri ndio maana ni kasema,dada zangu wanakazi......
Mpaka umeenda Google, ni ishara kwamba hili jambo umelipa userious. Mimi siwezi kukataa muonekano wangu ambao Mungu amenipa, hajakosea kuniumba hivi na kazi yake haina makosa
 
Mpaka umeenda Google, ni ishara kwamba hili jambo umelipa userious. Mimi siwezi kukataa muonekano wangu ambao Mungu amenipa, hajakosea kuniumba hivi na kazi yake haina makosa
Huogopi Wewe Mtoto wa Kiume kutamba kabisa hapa JamiiForums kuwa ni Mzuri ukijua Watoto wa Pwani ( Wasaka Samaki Topeni ) hapa tumejaa tele tu?
 
Huogopi Wewe Mtoto wa Kiume kutamba kabisa hapa JamiiForums kuwa ni Mzuri ukijua Watoto wa Pwani ( Wasaka Samaki Topeni ) hapa tumejaa tele tu?
Utajua wewe na hao mashetani wenzio wenye hizo tabia, mimi nimeeleza jambo ambalo linahusu maisha yangu ya kilasiku, na naendelea kufanya mambo yangu
 
Mpaka umeenda Google, ni ishara kwamba hili jambo umelipa userious. Mimi siwezi kukataa muonekano wangu ambao Mungu amenipa, hajakosea kuniumba hivi na kazi yake haina makosa
Wewe umebisha,so nimeenda kukuletea tafsiri...... au nayo unaikataa?....... tena uhandsome kwa mujibu wa google ni sawa na mrembo mimi niliuweka kwenye kundi la uzuri.

Watoto wa kiume mashababi hawajisifii uzuri/urembo.Always mtoto wa kiume anajisifia hardworking, fighting spirit, fatherhood,hustling.

Achana na mawazo ya kiupuuzi ya kike,ww mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom