Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

View attachment 3060437
Haya tafsiri ya Google.

Mtoto wa kiume unatakiwa ujisifie hustling, fighting spirit, fatherhood.

Wewe unajisifia uzuri ndio maana ni kasema,dada zangu wanakazi......
yeye hendisamu kwa mustakabali wa umbile zuri labda.

1722678353423.png
 
Wewe umebisha,so nimeenda kukuletea tafsiri...... au nayo unaikataa?....... tena uhandsome kwa mujibu wa google ni sawa na mrembo mimi niliuweka kwenye kundi la uzuri.

Watoto wa kiume mashababi hawajisifii uzuri/urembo.Always mtoto wa kiume anajisifia hardworking, fighting spirit, fatherhood,hustling.

Achana na mawazo ya kiupuuzi ya kike,ww mtoto wa kiume.
Mimi ni mtanashati na napenda kuwa nadhifu, tena sisahau kuhakikisha nanukia vizuri wakati wote
 
Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako.

Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata kidogo. Ukazingatia unadhifu na mavazi mazuri yasiyo na gharama, lakini bado watadhani wewe ni pedeshe.

Hayo yote yananikuta mimi, kila sehemu nikienda nakaribishwa kifalme kwa sababu ya muonekano tu, kumbe mfukoni ni mtu wa hali ya kawaida kabisa.

Am tired of this......
Use that opportunity to create friendship with benefit and CONNECTIONS sasa. Sio ubaki kubwabwaja tu kuwa huna kitu mfukoni. Neno langu la mwisho kwako TUMIA FURSA KADRI ZIKUJIAVYO
 
Use that opportunity to create friendship with benefit and CONNECTIONS sasa. Sio ubaki kubwabwaja tu kuwa huna kitu mfukoni. Neno langu la mwisho kwako TUMIA FURSA KADRI ZIKUJIAVYO
Kama fursa nitazipata kwa njia halali, lakini usumbufu mkubwa ni kutoka kwa wanawake, wanadhani mimi nina hela kwaiyo wanataka kuniganda kihuni tu
 
Kama fursa nitazipata kwa njia halali, lakini usumbufu mkubwa ni kutoka kwa wanawake, wanadhani mimi nina hela kwaiyo wanataka kuniganda kihuni tu
I just knew it ulisema unakaribishwa so I generalised it kuwa mpaka sehemu yenye kujitanua kimaslahi kumbe usumbufu unatoka kwa hiyo jenda, bhas pambana mkuu😀😀
 
Back
Top Bottom