Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Usijal mkuu mahandsam wapo na wanatambulika bila hata kujitangaza ila ukijitangaza unaonekana mwehu na unatangaza ushoga hiyo ipo dunia nzima .
Ni kweli lakini uhandsome haufichiki, sijasema kwa lengo la kujitangaza lakini nimesema changamoto ninazo pitia
 
Back
Top Bottom