Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu , vumilia tu.Hata mtaani pia napata hiyo challenge, lakini nimezoea
Kaka inabidi upoe na uzuri wako wewe naona kuna watu unawatafuta sasa , 😂🤣Ni kweli ni zangu, lakini naamini wapo ambao wanapitia haya ninayo pitia mimi
Nimekuelewa MkuuUsiache Kuwa Nadhifu Kila inapokubidi kuwa Hivyo
Kaka inabidi upoe na uzuri wako wewe naona kuna watu unawatafuta sasa , 😂🤣Ni kweli ni zangu, lakini naamini wapo ambao wanapitia haya ninayo pitia mimi
Kiredio kaona aanike uzuri wake😜Hakelwi anaambiwa ukweli .Kwanza asubiri tu watu wa hisani watapita hapa soon
Kaka inabidi upoe na uzuri wako wewe naona kuna watu unawatafuta sasa , 😂🤣Ni kweli ni zangu, lakini naamini wapo ambao wanapitia haya ninayo pitia mimi
Kaka mimi sio mzuriKaka inabidi upoe na uzuri wako wewe naona kuna watu unawatafuta sasa , 😂🤣
Wewe ni murembo haswaaaaKaka mimi sio mzuri
Mkuu nimevumilia sana, nimeitwa majina mengi sana ya ajabuSawa mkuu , vumilia tu.
Sema acha bangi 😇Mkuu nimevumilia sana, nimeitwa majina mengi sana ya ajabu
Sawa master , maisha yanahitaji uvumilivu na subra.Mkuu nimevumilia sana, nimeitwa majina mengi sana ya ajabu
Hujawahi kuniona huwezi kusema hivyoWewe ni murembo haswaaaa
😂Hujawahi kuniona huwezi kusema hivyo
Kaka wapi nimesema natumia bangiSema acha bangi 😇
Usipende kujielezea, kwenye social media uwe una ji ondoa kabisaKaka wapi nimesema natumia bangi
Ndio maana wanaviomba namba then wana videvyenga hamna namna .Hii trend ya vivulana kujiita mzuri sijui dawa yake ni nini? Habari za ma upinde kwa kweli kupambana nazo ni kazi sana
Sio kama najieleza, social media ni sehemu ya kuongea na kubadilishana mawazo tu.. sio ya kuchukulia seriousUsipende kujielezea, kwenye social media uwe una ji ondoa kabisa
Kuhusisha mada yangu na upinde sio sahihiHii trend ya vivulana kujiita mzuri sijui dawa yake ni nini? Habari za ma upinde kwa kweli kupambana nazo ni kazi sana