Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,341
- 907
Choshwa kimyakimya mjomba. Hukuwa na haja ya kuandika hapa. Ulichofanya kinaitwa INVITATION TO TREAT kwa lugha ya MwabukusiSijasema nataka uhandsome uniletee ugali, nimesema nimechoshwa na vishawishi ambavyo nakutana navyo, sihitaji kuingia matatizoni