Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Kuwa mtanashati au handsome ni mzigo mkubwa

Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako.

Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata kidogo. Ukazingatia unadhifu na mavazi mazuri yasiyo na gharama, lakini bado watadhani wewe ni pedeshe.

Hayo yote yananikuta mimi, kila sehemu nikienda nakaribishwa kifalme kwa sababu ya muonekano tu, kumbe mfukoni ni mtu wa hali ya kawaida kabisa.

Am tired of this......
Lipia tangazo
 
Bila shaka unapaka na lip-shine pia.

Sisi wengine tunaamini kwenye bank account balance, investments na akili kichwani.
Huwa hata ndala tunavaa, boxer tunavaa hata mwezi, jeans mwezi hatujaali Sana muonekano.
 
Sawa, lakini mimi sio kwamba sitafuti hela bro, nafanya mishe zangu na utanashati siwezi kuacha
 
Anzisha uzi tu ili tuwe eksklusiv kapo. Pm ushindani mkubwa ukizingatia uhendisamu wangu ni wa kipekee😂😂😂😂
Ushanitisha kumbe kuna wenzangu kibao huko pm nikikuanzishia uzi watakuwa tu wananichora ai kenti😕😂
 
Fungua pm basi,,,ila huu mwandiko sio wa kijana mtanashati na handsome
 
Ushanitisha kumbe kuna wenzangu kibao huko pm nikikuanzishia uzi watakuwa tu wananichora ai kenti😕😂
Donti bi laik zat. Wao wameamua kujificha, wewe unapata fursa ya kuwa mein chik, mwenye mali.

Kabla kukata tamaa imagine vi hendisamu bebi vyetu vya baadae, vikichukua tabasamu na rangi ya baba, vitakimbiza balaa 😂😂
 
Back
Top Bottom