joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Si ndio uzuri wenyewe sijasema mrembo,ila mzuriii.........Mimi ni mwanaume sio mwanamke, nimesema utanashati sio uzuri
Mkuu, mimi nikiendekeza namna wanawake wanavyo jipendekeza kwangu, basi sitobaki salama kwani sikuhizi magonjwa ni mengi.. Sitaki kupata matatizoWengi wao huishia kuwa michicha miba (michele)...
Wapi nimesema mimi ni mzuri?Si ndio uzuri wenyewe sijasema mrembo,ila mzuriii.........
Watoto wa kiume wa siku hizi,kuna vitu vya kujisifia mtoto wa kiume ila sio kujisifia uzuri, dada zangu mna kazi sana..........
Kwani uhandsome si ndio uzuriii wenyewe au...........Wapi nimesema mimi ni mzuri?
Mimi najua uhandsome ni utanashati na unadhifuKwani uhandsome si ndio uzuriii wenyewe au...........
Ukiona Mwanaume au Mtoto wa Kiume anapenda kuonekana Handsome au anajisu kuwa Handsome jua Siku zake za kuwa Mpiga Mluzi / Mbinua Mchanga katika Lori wala haziko mbali sana.Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako.
Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata kidogo. Ukazingatia unadhifu na mavazi mazuri yasiyo na gharama, lakini bado watadhani wewe ni pedeshe.
Hayo yote yananikuta mimi, kila sehemu nikienda nakaribishwa kifalme kwa sababu ya muonekano tu, kumbe mfukoni ni mtu wa hali ya kawaida kabisa.
Am tired of this......
Namaanisha picha hiyo inayotakiwa Kuna mtu anataka ili aliwe na yeye kiboga.Sijakuelewa Mkuu
Sawa, endelea kusubiri hizo siku ambazo haziko mbali, mimi naendelea kufanya mambo yangu.Ukiona Mwanaume au Mtoto wa Kiume anapenda kuonekana Handsome au anajisu kuwa Handsome jua Siku zake za kuwa Mpiga Mluzi / Mbinua Mchanga katika Lori wala haziko mbali sana.
Sijasema nataka uhandsome uniletee ugali, nimesema nimechoshwa na vishawishi ambavyo nakutana navyo, sihitaji kuingia matatizoniVijana wadogo , mnafikra fupi sana ,sakeni pesa asee u handsome hauleti ugali mezani.
Mimi najua uhandsome ni utanashati na unadhifu
Kawaida hiyo mkuu, japo ujumbe unaweza usiwe wa kwako ila tuvijana twa sasa tunapenda kuona uhandisam ni kila kitu , wakito,,,,,,,,,wa wana anza lalama😜😜😜Sijasema nataka uhandsome uniletee ugali, nimesema nimechoshwa na vishawishi ambavyo nakutana navyo, sihitaji kuingia matatizoni
Mpaka umeenda Google, ni ishara kwamba hili jambo umelipa userious. Mimi siwezi kukataa muonekano wangu ambao Mungu amenipa, hajakosea kuniumba hivi na kazi yake haina makosaView attachment 3060437
Haya tafsiri ya Google.
Mtoto wa kiume unatakiwa ujisifie hustling, fighting spirit, fatherhood.
Wewe unajisifia uzuri ndio maana ni kasema,dada zangu wanakazi......
Kweli wengi wanatamani kuvaa vya gharama na mwisho wake sio mzuriKawaida hiyo mkuu, japo ujumbe unaweza usiwe wa kwako ila tuvijana twa sasa tunapenda kuona uhandisam ni kila kitu , wakito,,,,,,,,,wa wana anza lalama😜😜😜
Huogopi Wewe Mtoto wa Kiume kutamba kabisa hapa JamiiForums kuwa ni Mzuri ukijua Watoto wa Pwani ( Wasaka Samaki Topeni ) hapa tumejaa tele tu?Mpaka umeenda Google, ni ishara kwamba hili jambo umelipa userious. Mimi siwezi kukataa muonekano wangu ambao Mungu amenipa, hajakosea kuniumba hivi na kazi yake haina makosa
Utajua wewe na hao mashetani wenzio wenye hizo tabia, mimi nimeeleza jambo ambalo linahusu maisha yangu ya kilasiku, na naendelea kufanya mambo yanguHuogopi Wewe Mtoto wa Kiume kutamba kabisa hapa JamiiForums kuwa ni Mzuri ukijua Watoto wa Pwani ( Wasaka Samaki Topeni ) hapa tumejaa tele tu?
Hebu kapicha tuoanishe na maneno yako
Wewe umebisha,so nimeenda kukuletea tafsiri...... au nayo unaikataa?....... tena uhandsome kwa mujibu wa google ni sawa na mrembo mimi niliuweka kwenye kundi la uzuri.Mpaka umeenda Google, ni ishara kwamba hili jambo umelipa userious. Mimi siwezi kukataa muonekano wangu ambao Mungu amenipa, hajakosea kuniumba hivi na kazi yake haina makosa