Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

Ni laana usilalamike nanukuu mwanzo 3:14-24
"Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
 
Naona watu wengi bado wanaishi zama za mawe 😂 na wanawake wengine hata hawajitambua bado, wanawake amkeni acheni kuwa tegemezi kwa wanaume huyo ni life partner kila kitu mfanye kwa usawa na sio ukawe kijakazi na kushindwa kufanya vitu unavipenda unaogopa mume atanifukuza
 
Ukiwa Feminists ni shida,

Single mother ni shida,

Ukiomba pesa malalamiko

Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.

Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo

Ukivaa nguo za kubana sio wife material

Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.

Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Hizo sifa zako ulizotaja hakuna mwanamke wa kisasa hapo.Ni wanawake tu ambao wana changamoto ambazo wala sio mpya au za kisasa.Kama mwanamke kama unahisi wanaume wanalalamika sana kuhusu wewe basi Huenda hujakutana na mwanamme sahihi kwa ajili yako
 
Ni mtazamo wako sikupingi. Je Ni wewe unaetupa pumzi ya uhai? we ndio unaamua nani azaliwe nani afe? Wewe ndio umewaweka samaki ziwani ?
Hapana mimi sitoi pumzi, wala siamui nani azaliwe japo nnaweza kuzalisha, na mimi siweki samaki ziwani .

Swali kwako, Je huyo aliyekupa pumzi na akaamua uzaliwe na akaweka samaki ziwani alitokea wapi? Chanzo chake ni nini?
 
Ila single mother [emoji119] nilichofanyiwa hapana aisee ila fresh tuu
Single mother ukidate nae au kumuweka ndani huku ukidhani amekomaa kutokana na changamoto za kimalezi ya mwanae/wanae na maisha alizopitia utakuja kujiona huna tofauti na mwanaume aliyemuacha ila uvumilivu ndiyo utakaokupa jibu la muda gani u move on
 
Single mother wanazngua sana aisee
 
Hapana mimi sitoi pumzi, wala siamui nani azaliwe japo nnaweza kuzalisha, na mimi siweki samaki ziwani .

Swali kwako, Je huyo aliyekupa pumzi na akaamua uzaliwe na akaweka samaki ziwani alitokea wapi? Chanzo chake ni nini?
Akili za kibinadamu hazijapewa uwezo wa kujua kila kitu, kwahiyo kwakuwa wewe akili zako ndo zimeishia hapo, ndo unashindwa kumwamini?
 
Nani kanikomesha hebu mtaje hapa
Kwa mara ya kwanza umetoa comment fupi, nilijua utakuja na magazeti yako, uzi umejomesha wanawake wote, wamekimbia tumebakia tunabishana na mtu anajidai ni mwanaume, nadhani atakuwa shoga. Kama siyo shoga basi atakuwa hanithi.
 
Akili za kibinadamu hazijapewa uwezo wa kujua kila kitu, kwahiyo kwakuwa wewe akili zako ndo zimeishia hapo, ndo unashindwa kumwamini?
Kuamini ni nini?
Screenshot_20240930-142305.jpg

Mimi namuamini Mungu kwa akili yangu mwenyewe bila sababu ya kidini wala maandiko yeyote!!

Hiyo definition no .1
 
Kwa mara ya kwanza umetoa comment fupi, nilijua utakuja na magazeti yako, uzi umejomesha wanawake wote, wamekimbia tumebakia tunabishana na mtu anajidai ni mwanaume, nadhani atakuwa shoga. Kama siyo shoga basi atakuwa hanithi.
Aise kumbe kuandika comment fupi maana yake nimekomeshwa tena unasema eti kwa mara ya kwanza, usichokijua ni kwamba wanaume wengi wa jf nimeshawadharau kwa sababu wengi hawajui kujenga hoja yani mimi najadili hoja mtu analeta matusi na personal attacks so what's the point of wasting my time arguing with such fools, kama kuna mwanaume anajiona anaweza kujadili hoja mwanzo mwisho bila kuleta matusi ya aina yoyote basi aanzishe mjadala nitamjibu maana binafsi hii mada nimeiunga mkono sina la kuongeza
 
Ukiwa Feminists ni shida,

Single mother ni shida,

Ukiomba pesa malalamiko

Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo.

Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo

Ukivaa nguo za kubana sio wife material

Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa.

Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
hao wanaume wanaona hizo vitu ni shida hua mnakutana nao wapi ?
 
Aise kumbe kuandika comment fupi maana yake nimekomeshwa tena unasema eti kwa mara ya kwanza, usichokijua ni kwamba wanaume wengi wa jf nimeshawadharau kwa sababu wengi hawajui kujenga hoja yani mimi najadili hoja mtu analeta matusi na personal attacks so what's the point of wasting my time arguing with such fools, kama kuna mwanaume anajiona anaweza kujadili hoja mwanzo mwisho bila kuleta matusi ya aina yoyote basi aanzishe mjadala nitamjibu maana binafsi hii mada nimeiunga mkono sina la kuongeza
Kumbe umeunga mkono, good.
 
Kumbe umeunga mkono, good.
Yeah mtoa mada nimemuunga mkono au hata mada yenyewe hujaielewa, hao unaosema wamenikomesha hakuna cha maana walichoandika, kama kawaida yao wengi wamemshambulia tu mtoa mada badala ya kujadili hoja
 
Back
Top Bottom