Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Mpaka nimewatamani๐Ÿ˜€
 
Hata Mimi nikiwa mwanakamati halafu bwanaharusi anatak mambo makubwa na huku uwezo wenye hana


Huwaga nasusia tu
 
Mdau hii sherehe ilifanyika kweli??
 
Hahahaha mimi niliwah kuweka tissue kwenye bahasha kama zawadi ya kamati huku nikitangaza mbele za watu ni milion ila ni baada ya bwana harusi kutufanyia usanii wa hali ya juu mpaka siku ya tukio

Sent from my BLN-AL40 using JamiiForums mobile app
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Halaf watu wanaokuaga wenyevit wa kamat wanakuaga watu waa design flan hiv za kiwack...watu wa shobo sana..ongea ongea sanaa.watu wa kutumwa tumwa sana..wajuaj...limbukeni...waoenda sherehe na kupoteza muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ