Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Pole Sana mkuu,hayo yamewahi kunikuta tena wakati mwingine nilikuwa nazama mfukoni mwangu,usingizi sipati,nashindwa kumpa dozi inayotakiwa mke wangu kisa tu nimekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi,Lkn cha ajabu,siku ya Harusi hakuna aliyekumbuka kunishukuru(Japo huwa sipendi kudai Asante ya mtu),Wakagawa zawadi,akapewa msimamizi,huyo ndo alionekana amefanya kazi kubwa,nikajinyamazia,hata sasa jamaa hajawahi kunikumbuka hata akija kitaa anakuja kumsalimia msimamizi wake,kwake huyo ndo mtu wa maana.Tokea hapo hayo mambo huwa ninayakwepa Sana.
Pole sana mkuu. Wahenga walisema "Tenda wema kisha nenda zako"
 
Pole Sana mkuu,hayo yamewahi kunikuta tena wakati mwingine nilikuwa nazama mfukoni mwangu,usingizi sipati,nashindwa kumpa dozi inayotakiwa mke wangu kisa tu nimekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi,Lkn cha ajabu,siku ya Harusi hakuna aliyekumbuka kunishukuru(Japo huwa sipendi kudai Asante ya mtu),Wakagawa zawadi,akapewa msimamizi,huyo ndo alionekana amefanya kazi kubwa,nikajinyamazia,hata sasa jamaa hajawahi kunikumbuka hata akija kitaa anakuja kumsalimia msimamizi wake,kwake huyo ndo mtu wa maana.Tokea hapo hayo mambo huwa ninayakwepa Sana.
Pole sana asee, tenda wema nenda zako! Sie binadamu bana
 
Mimi namjua kiasi kwakua ni rafiki wa familia jamaa miaka ya 2010 alikua mwalimu tena kule Temeke secondary najua analipwa si chini ya m2 sasa hiyo m4 sijui.

Kwa sasa hivi kweli pesa anayo, mke wake ana masters ila alimpiga marufuku asifanye kazi kamnunulia Bmw x3.
Hongera kwao!
 
Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?

Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Kwani kama mtu huna uwezo lazima ufanye sherehe? Kama kufanya muoaji ana laki 5 unadhani amejiandaa kuishi na mwanamke kweli? Washone vitenge wakafunge ndoa yao......hiyo hela ndogo waanzie maisha.....mambo ya kuforce kitu ambacho huna uwezo nacho ni ufala......maisha huwezi copy na kupaste........ndugu mwenyekiti asikusumbue kuoa siyo lazima sherehe.......
 
Back
Top Bottom