Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Aachane na sijui party sijui nini afanye kama ya akina Lulu..
 
20210315_225642.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210315-225515_Instagram.jpg
    Screenshot_20210315-225515_Instagram.jpg
    72.1 KB · Views: 8
Harusi nyingi waalikwa hutoa michango mwishoni mwishoni endelea kuwakumbusha kwa kuwasumbua kwa txt walau moja kila siku.
 
Anamtaka mc garab 😂😂😂...anaoa binti wa instagram au bwanaharusi naye ni walewale tu, yaani kashindwa toa 5m anataka ampe mtu 4m kwa ajili yakupiga piga kelele masaa 3 sijui manne.
😳 kwani ndio bei za Mc Gara B izi? saitakuwaje
 
Ujinga mwambie bwana harusi achanganyikiwe mpaka atembee uchi, ka pledge 5M katoa laki5, anataka mambo makubwa asiyo na uwezo nayo

Alitangaza hivyo mwisho wa siku zawadi ingetokea kwenye hela aliyojitangazia, angesema tiyari kawekewa kwenye account, fool!

Aende kanisani akitoka hiyo laki5, aende fungate na mkewe siku 2, wakirudi, maisha yaendelee.

Atakoma kama anaoa wadada wa Instagram.

Everyday is Saturday................................😎
Itakuwa walijua kuwa hawezi kutoa hiyo pesa ila aliwahadaa ili watu watoe michango mikubwa
 
Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?

Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Harusi imeshangwa au ndio basi tena?
 
akili za kuambiwa changanya na za kwako.....ilishantokea kama mwenyekiti......bwana harusi na mkewe mpaka leo hawajanimalia bado.....yaani bwana harusi mpaka nguo aliazima.....wacha kabisa....tulikunywa maji soda mwanzo mwisho...na maharusi wote ni walevi hatareeee....kikubwa ni KANISANI......mengine mbwembwe mfinyanzi....
 
Gharama za harusi ml 10 ad 7.wakati huo wana harusi wanaenda kukaa kwenye nyumba ya kupanga na kazi za kuunga unga
 
Hapo nikutafutiana lawama tu.kama yeye mwenyewe kashindwa kumalizia mchango wake anatemea Nini.😀😀,Aisee hapo unakazi ya ziada,!
 
Back
Top Bottom