Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Waswahili ndo maana malalamiko ya umasikini hayaishi. Uwezo mdogo. possibly ndo umemaliza masomo unaanza Maisha. kwa nini usifanye harusi ndogo wewe na mwenzako? kwa nini usumbue watu kuwachangisha? Fanya mambo yanayoendana na uwezo wako. Ukimchukua mwenzako mkaenda msikitini au kanisani utapungukiwa nini? Kusanya ulicho nacho, nenda church.

Padri au mchungaji awape baraka na mkamilishe taratibu za serikali. tafuta sehemu mkae na ndugu au jamaa wachache. kila mtu alipe bills zake..Maisha yaendelee.

Unataka sherehe kubwa na uwezo wa kuigharimia huna...ndugu yangu lazima uwe mwizi au tapeli tuu!
 
Ni changam
Anamtaka mc garab 😂😂😂...anaoa binti wa instagram au bwanaharusi naye ni walewale tu...yan kashindwa toa 5m anataka ampe mtu 4m kwa ajili yakupiga piga kelele masaa 3 sijui manne
changamoto saana
 
Hiyo milioni moja iliyo mkononi. Nyumbani kwa maharusi kupambwe vizuri
Nnunueni
Mbuzi
Michele
Ndizi
Viungo vya pilau
Pombe (kama ni wanywaji)

Tafuteni kijana kwa laki mbili apige disco
Kazii iishie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…