The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza sana.
Nilifikiri sanaa ya sasa kuwa na followers Wengi ndo kila kitu. Unauza chochote na unapata matangazo Tele...lakini ajabu sana kuna wasanii "Wana struggle Sana" huku Wana followers milioni zaidi ya tano..... tatizo ni nini?
Kingine mbona watu wenye page zenye followers chini ya milioni wengine Wana claim wanaendesha maisha Yao vizuri Tu Kwa kupitia page zao?
Shida ni nini kwa wasanii wenye followers Wengi?
Kuna yeyote anajua hii industry na mbinu zake kuhusu followers??