Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sio kwa bongo hii mkuu, hata ndgu zako, wasanii wenzio na wana kitaa wanazidi 30.Hiyo sio sababu hata cr7 ana followers milion miatano 500M anaelekea 600 lakini akipost anapata 10M yaan hata robo ya followers wake hawafiki
Ndo upost picha yako kabisa likes 29 kwa wiki 3???
Na una followers 1M, hao followers hawakujui au ni nn?