Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hao wanabust followers kupata fame na jina tu. larger number ya hao followers ni hewa kabisaImebidi nikaicheki aisee..
View attachment 2633343
Kweli ana followers 1M.
Ila content zake naona akipata likes 100 mara chache sana.
View attachment 2633344
Picha ya zaidi ya week iliopita.
View attachment 2633346
Kuna watu wanauza huduma ya "KUZA FOLLOWERS" unamlipa anabost akaunt yako. Followers wanajazana kibao alafu hawana msaada wowote hasa kibiashara. Mana huwaga hewa tu... Mm nlitamani niwe na followers 200k huku nkiwa sijapost kitu hata kimoja huko insta. Nadhani ningevuja rekodi ya duniaHebu fafanua hapa
[emoji38][emoji38]Kuna watu wanauza huduma ya "KUZA FOLLOWERS" unamlipa anabost akaunt yako. Followers wanajazana kibao alafu hawana msaada wowote hasa kibiashara. Mana huwaga hewa tu... Mm nlitamani niwe na followers 200k huku nkiwa sijapost kitu hata kimoja huko insta. Nadhani ningevuja rekodi ya dunia
Engagement ndio mtaji. Ukipeleka tangazo lako kwa watu wa insta usitazame followers utakula za uso.Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza sana.
Nilifikiri sanaa ya sasa kuwa na followers Wengi ndo kila kitu. Unauza chochote na unapata matangazo Tele...lakini ajabu sana kuna wasanii "Wana struggle Sana" huku Wana followers milioni zaidi ya tano..... tatizo ni nini?
Kingine mbona watu wenye page zenye followers chini ya milioni wengine Wana claim wanaendesha maisha Yao vizuri Tu Kwa kupitia page zao?
Shida ni nini kwa wasanii wenye followers Wengi?
Kuna yeyote anajua hii industry na mbinu zake kuhusu followers??
Nenda na million 5 yako kwa Diamond akuwekee tangazo lako kwenye page yake. Ukifanikiwa nakuongeza mil 5 nyingine.Wasanii wote huigiza maisha hadi siku wakifa ndo ukweli utajulikana.
Kwa watu kama CR7, Messi inajulikana kila Post ya Tangazo ni zaidi ya Tzs 2.2bil
Hawa wa hapa kwetu sana sana ni 50,000 kutangaza Matangazo ya Nguvu za Kiume
Toka nione Lokole kamzidi followers Mayele na Manula
Nimeacha kbsa kutumia Instagram
Followers fake ni wengi
Ndo maana tunasemaga wanawake hampendani. Sasa suala la Zuchu limeingiaje? IronbutterflyNo sio fake wafuasi wengi wa insta Tanzania wanafollow upuuz,kama page za udaku nk
Isitoshe zuchu anabebwa na mondi,ajitoe wasafi leo uone kama atawika🙏
Sawa mke wa Diamond tumekuelewaNenda na million 5 yako kwa Diamond akuwekee tangazo lako kwenye page yake. Ukifanikiwa nakuongeza mil 5 nyingine.
Hii noma sanaImebidi nikaicheki aisee..
View attachment 2633343
Kweli ana followers 1M.
Ila content zake naona akipata likes 100 mara chache sana.
View attachment 2633344
Picha ya zaidi ya week iliopita.
View attachment 2633346
Imebidi nikaicheki aisee..
View attachment 2633343
Kweli ana followers 1M.
Ila content zake naona akipata likes 100 mara chache sana.
View attachment 2633344
Picha ya zaidi ya week iliopita.
View attachment 2633346
Possibility alikuwa ana maanisha endorsement [emoji23]Engagement.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanawake wengi wenye followers wengi hawana talents, Lulu Diva na Hamisa Mobetto hapa walikuwa Mwanza wanafanya show.
View attachment 2632800
Wanafanikiwa sana kwenye Nini?Amber Lulu na Gigi money Wana followers kwa mamilion...lakini huoni kama wanafanikiwa sana
Hiyo sio sababu hata cr7 ana followers milion miatano 500M anaelekea 600 lakini akipost anapata 10M yaan hata robo ya followers wake hawafikiUshaona akaunt ya yule dada mfupi anaitwa TAUSI? ana follower 1m lakini akipost hizo like na comment hazifiki 100. Wananunua booster waleee. Anaonekana ana watu wengi kumbe hewa tu
Hesabu za Ratio ulikuwa unapata ngapi shuleniHiyo sio sababu hata cr7 ana followers milion miatano 500M anaelekea 600 lakini akipost anapata 10M yaan hata robo ya followers wake hawafiki
We jamaa. TAUSI Hana uwezekano wa kumiliki followers wengi kuliko mkojani.. follower MILIONI. Like na comment chini ya 100.Hiyo sio sababu hata cr7 ana followers milion miatano 500M anaelekea 600 lakini akipost anapata 10M yaan hata robo ya followers wake hawafiki