Kuwa na followers Wengi Instagram hakuna faida?

Hiyo sio sababu hata cr7 ana followers milion miatano 500M anaelekea 600 lakini akipost anapata 10M yaan hata robo ya followers wake hawafiki
Sio kwa bongo hii mkuu, hata ndgu zako, wasanii wenzio na wana kitaa wanazidi 30.
Ndo upost picha yako kabisa likes 29 kwa wiki 3???
Na una followers 1M, hao followers hawakujui au ni nn?
 
Unaweza kuwa na followers 4M kati ya hao 3.7M ni kutoka uarabuni na India waliobaki ndio wabongo wanaoelewa hata ulichopost kina maana gani ,so usishangae wala usiogope unawza kua na followers wachache na ukafanikisha mambo yako pakubwa kuliko mwenye followers namba tu
 
Hesabu za Ratio ulikuwa unapata ngapi shuleni
Nyie ndo wale mnashangaa diamond ana followers mil 16 lkn akipost like huwa hazifiki milion moja mnashangaaa sana!!

ila cr7 ana followers zaidi milion 500 lkn akipost hafikishi like milion 50 hapa huwa hamshangai!

Mwisho nasema toa upumbavu wako
 
Ninyi ndio watu munakurupuka kuandika kabla ya kusoma hoja....trace kwanza ujue kwanini nimekwambia Ratio
 
Twitter ndio safi followers laki moja tu matangazo yanakuhusu sana sana ya kusafisha na kuwafagilia viongozi.
 
Kwamba alikiba followers wengi ila engagement ni ndogo[emoji16][emoji16][emoji16].

Mbona mnayajua maisha ya wasanii kuliko wao wenyewe jamani???
 
Kwamba alikiba followers wengi ila engagement ni ndogo[emoji16][emoji16][emoji16].

Mbona mnayajua maisha ya wasanii kuliko wao wenyewe jamani???

Engagement zinaonekana.. ama huelewi maana ya engagements za followers?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…