Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Wasalam wakuu,

Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.

Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.

Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
 
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
 
Wangu alikua anaomba hadi hela ya kibiriti cha mia😅

Utasiku BTB naomba Nina njaa naomba hela, Sina nauli naomba hela chumv imeisha naomba hela😅unamuuliza Sasa chumvi ya hero nayenyw nikupe hela na una kazi ndugu
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
 
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
umetisha sana. ukimwambia unajiuza anakuja juu. utasikia umeniona mimi eeh?, haya niache na maisha yangu.
 
Wasalam wakuu, kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi. wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
Misso Missondo_ft_Rayvanny
 
Back
Top Bottom