Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
kumbe unaweza pata mwanamke na akakupenda kabisa kutoka moyoni mwake‽‽‽
 
Iwe chai au supu,
Unatongaze job seeker
Usitongaze mwanamke ambaye ukipanga nae date anakosa nauli au anataka umfuate alipo
 
Hata kudate a broke ass man ni kazi vilevile, maana unageuka mwanaume kwenye mahusiano ni kumuhudumia tu kijana mara buku mara afu tatu.

Eniweiz tuvumiliane.
Kwenu huwa ni kwa ridhaa yenu, watoto wa mjini wanaita 'kulea'.
 
Kabisa. Utasikia mwanaume mzima anasema eti “mwanamke akinitaka lazima awe na hela”😂😂😂
Zile haki sawa mlizokuwa mnataka zifundishwe mpaka mashuleni mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili, vijana walizielewa so mda wakuziapply,ile mbegu iliyo pandwa ishaanza kuzaa.

Kuna kizazi kijacho cha wanawake watakuwa wakisumuliwa story za bibi zao watashangaa kusikia walikiwa wanahongwa majumba na magari kwani kwao itakuwa tofauti, kwani hata Nabii Isaya alisha ya tabiri.
 
Back
Top Bottom