SOCIETY'S FOCUS
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 498
- 685
Watoto wa mjini msingi kiuno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
Siku zote nyota njema uonekana alfajiri, demu mpuuzi (mgogo) akianza tu mambo ya kuomba pesa kijinga ni wa kumtupa chini mara moja no matter ana uzuri gani. Mwache akajiuze tu kwa Wanigeria abebeshwe miunga.Wasalam wakuu,
Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.
Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.
Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
Mimi nataka Mke wangu anitreat Kifalme kama anavyofanya cheupe wangu huyu. Yanitosha!Wasalam wakuu,
Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.
Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.
Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
Kwa kweli ni kujitafutia matatizo kudate wanawake kama hawa....unakuta mtu anaamka asubuhi anaanza kukuomba hela ya vocha, matumizi ya wazazi na ndugu zake, wakati wala si mkeo na hana faida kwako zaidi ya kutombwa tu. Wapuuzi sana hawa mademu.Wasalam wakuu,
Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.
Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.
Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
Madada wa mjini BongoWasalam wakuu,

Mtego huo kaka, we jichanganyekumbe unaweza pata mwanamke na akakupenda kabisa kutoka moyoni mwake‽‽‽
huwa mnaanza iviivi bdae sasa ndo mnachanganya adi mtu anaishia kuona kila rangi.Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
Hili tangazo limekaa vizurisuala la hela kusaidiana kwenye mapenzi ni jambo la kawaida kwa wapenda nao kama mpenzi wako anashida kubwa za pesa na hajui wapi pa kuanzia ni vyema kuangalia namna ya kumsaidia ili asikuombe hii ndio maana ya mapenzi.
mimi nipo tofauti sana kimtazamo kuhusu pesa yani mpaka naweza kumsaidia mtu yoyote yule pesa hata ambaye simjui sio rafiki yangu wala sio mpenzi na namsaidia bila hata yeye kuniomba unajua kuna baadhi ya shida zinaonekana bila hata mtu kukueleza au kukuomba basi mimi nasaidia watu h
😁Daaaaah,Mtego huo kaka, we jichanganye
ofcourse.Ni singlemom?