joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hivi kati ya jinsia ya ke na me ipi ina utitiri wa NGOs?Hii inahubiriwa na nyie wanaume kwa kasi sanaaa ila ni kwenye pesa tu, mengine hamtaki🤣🤣
Si mnajiita vichwa vya familia, sasa iweje hilo liwe tatizo!!!
Kwahiyo mnataka haki sawa au hamuitaki?