min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Shindikanaa ndio umenichoka kiasi hicho? Eti simbilisiššWeeeeeh! Kuna hizi simbilisi hazina hela halafu zimeoa pisi za hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shindikanaa ndio umenichoka kiasi hicho? Eti simbilisiššWeeeeeh! Kuna hizi simbilisi hazina hela halafu zimeoa pisi za hatari.
Daah! ila hii ni dharau. tengua hii kauli kabla siku haijapinduka. tena hao wanaume labda wa huko daslam, wa huku kwetu ni vidume kwelkwel hawanaga huu ujinga ujnga.Na wanaume siku hizi wanadanga hatari.
bila kusahau uparanta, kupotezewa mda laana na mikosi.kingine- UTI mkibaki nayo nyinyi itakuwa poa sana
mkuu wewe upo upande upi?Tafuta wenye kazi wasio na kazi tuachie sisi, au tafuta Mwanamke mwenye pesa uhamie kwake atalipa Kila kitu we utakula na kulala na utamkula na yeye pia.
mkuu unawaza kama mimi, yan inakua kama vocha tu ukiwa nashda nayo unaitumia then unaitupa, unaikumbk ukiwa na shda tena hamna kuweka kambi.Mbaya zaidi wanawake wasio na hela wana wengi wa kuwaombaomba. Hata ukimpa hataridhika ataomba na wengine wenye kumpa zaidi yako. Kama ni kutaka shoo unampa iliyopo kisha unaachana nae fasta hakuna kuweka kambi nae. Ni shoo shoo tu unalipia kwa kila shoo imetoka hiyo
Niko upande huu, wasio na kazi tuachie sisi, huu nd upande nilipo.mkuu wewe upo upande upi?
wengine haijalishi ana kazi au hana yeye mwendo wa kugogoa tu mara vocha mara gesi mara ela ya kodiTafuta wenye kazi wasio na kazi tuachie sisi
Wengine ata hicho kiuno hawana yaan ni ligogo balaaWatoto wa mjini msingi kiuno
hama huko kwa ajili ya afya yako ya akili na mwili pia mana utakufa kabla ya siku zako. hao broke women kwa asilimia kubwa ndo wasaliti, hawana shukran, matapeli, hawana mapenzi ya kweli, siku akizipata ndo utazijua rang zake na kila kitu. kma unajifanya mbish sawa.Niko upande huu, wasio na kazi tuachie sisi, huu nd upande nilipo.
Ni wewe tu hujiamini. Wanawake hatuna baya kabisa.Hamnaga kitu kama hicho labda wanavumilia matusi
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ sasa pisi kali kakuhurumia, nawe angalau ujione kidume, halafu unaleta za kuleta!!Shindikanaa ndio umenichoka kiasi hicho? Eti simbilisišš
Shindikanaa mwaka huu naona utashindikana zaidi kuliko wakati wowoteš¤š¤š¤š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ sasa pisi kali kakuhurumia, nawe angalau ujione kidume, halafu unaleta za kuleta!!
kuna watu kweli wanashda nakweli ataakija kukueleza unaguswa kumsaidia lakn tunaongelea hapa niwale watoto wa mjini matapeli yani wazee wa kucheza na fursa. ndo watu au mapepo tunayoyakemea hapa mkuu.Nimewahi kupitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu lakini kuna bibie mmoja alisimama na mimi.
Alikua na kipato kidogo lakini nilikua naomba hadi mia ya sigareti lakini hakunichoka wala ku complain...... mwishowe tulikaa sawa na nikasimama
R.I.P Annabella
Sijui kama ni mchepuko wako au mchumba wako
Whatever the case kuna watu wanapitia vipindi vigumu kwenye maisha hadi wanafikia hali hiyo au pengine hadi kujiuza kabisa
Kama UNAMPENDA kweli angalia namna bora ya kumsaidia ajikwamue au muache
Hakuna mtu iwe mwanaume au mwanamke anayependa kuwa na mtu masikini
Stop complaining and do something about it
kwenye mapenzi hakuna huruma. especially ke. akishafanya maamuzi yake ni kama israeli mtoa roho anakua ni mkatil sanaaa.š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ sasa pisi kali kakuhurumia, nawe angalau ujione kidume, halafu unaleta za kuleta!!
Sasa mkuu unakwenda sehemu za starehe kutafuta ma slay queen wa mchongo na unategemea usiombwe hela wakati wapo kazinikuna watu kweli wanashda nakweli ataakija kukueleza unaguswa kumsaidia lakn tunaongelea hapa niwale watoto wa mjini matapeli yani wazee wa kucheza na fursa. ndo watu au mapepo tunayoyakemea hapa mkuu.
Kwanini wewe si unaweza kujishikiza kwa Mwanaume ili akutatulie shida zako na wakati huo unakua hujampenda ila unakua umependa pesa zake, wakati huo Mpenzi wako unae mpenda kweli unajua kabisa kipato chake kidogo na wewe unataka maisha mazuri ndiyo unatafuta Mwanaume wa pembeni kuziba gepu la kiuchumi.Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
wapi nimeongelea sehemu za starehe mkuu.Sasa mkuu unakwenda sehemu za starehe kutafuta ma slay queen wa mchongo na unategemea usiombwe hela wakati wapo kazini
Mi nilidhani unaongelea madem decent wa mtaani kumbe unaongelea wadangaji?
Sasa ata danga vipi bila mizinga mkuu?
Kumpata huyo sasa Nilikua na lidemu tuliite malaya la chinichini kwenye maongezi yetu sikumbuki vizur ilianzaje nakumbuka alisema Mimi nimpe Mwanaume mwili wangu anichezee kanifanyia nini nikajiuliza huyu inamaana kumbe yeye anaangalia umemfanyia kitu gani ndiyo akupe mwili nikajua huyu mdangaji.Unakuwaje na mwanamke ata ela ya kununua chupi ya buku mbili hana, uyo chenga achana nae tafuta mwanamke ambae siku ukikwama basi ataokoa jahazi