Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

kaka kuna kadem flan kanasoma pharmacy kameniomba aftatu au ndo redflag hiyo nianue zangu kasije nipa UPARANTA
Mkuu ulitaka akuombe laki moja? Mpe tu labda anataka ya vicha kwa yeye kukuomba elf tatu ni sahii mbona kawaida. Unajua wanawake akili zao ndogo utakuta kununua kitu muhimu kwa pesa yake roho inamuuma.
 
mkuu mbna unahalalisha utapeli.. et kununua kitu kwa hela yake roho inamuuma sasa unataka anunue na hela za nan ambazo hazina kazi.. utavunwa sana kwa hali hii hadi akil ikukae sawa mkuu.
 
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
Una akili sana, take your flowers 🌷🌷
 
mkuu nyinyi ndo mnafanya hii nchi iwe maskini, yani kwanini nguvu kazi ya familia na taifa ibaki home badala ya kuzalishaa, msaidiane majukumu. yani huyu hata ikitokea umetoweka dunian atapata tabu sana na watoto wako mkuu.
Tabu atapata huko Mimi sipo siwezi ishi maisha ya kudhania nikifa itakuwaje je anayejua Mimi natangulia nani? Usilazimishe kwa wanawake iwe kama wanaume hiyo itakusumbua sana, alafu siku huyo mtaftaji ukiondoka vitu vyote vyake hiyo hapana. Na huyo mtaftaji ndo huyo anayekupiga virungu na hutaki, wanawake wanayofanya kazi wapo tele watafute uone shughuli yake, mtu hata ndugu yangu akija hataki anaona pesa inaisha hiyo hapana.
 
Kwahiyo mkuu wewe unataka demu atakaye kuwa anakupa mzigo tu bila malengo yoyote ili mradi tu umalize nyege zako

Mkuu hawa ni mama zetu dada zetu mabinti zetu na bibi zetu wana malengo yao pia kwenye maisha na sio kazi yao kukuvulia chupi wanaume tu

Next time ukiulizwa hivyo ujue mwanamke anataka kujua una malengo naye gani? Ndoa au raha zako.
Kama shida yako ni nyege zako tu basi ujue nayeye anashida ya hela
Hapana mkuu niliogopa Kauli yake ile ya kumpa mwili mwanaune pamka kuna kitu kamfanyia na kingine yeye alikua single mother tena kazalishwa na Mume wa mtu tena ni mzee umri sawa na Mzee wangu, akili ikanijia huyu ni wale wadangaji wanao dang kwa waume za watu wanalipiwa kodi ya Nyumba nk, Nilivyoanza kumtongoza nilimshangaa anasema nimuhudumie ndipo ataanza kunipenda na swali lake kuu ni je utaweza kunihudumia na akasema yeye kwao ana tegemewa sasa kupeleleza ana ndugu zake ambao ni wakubwa kwake wana ajira nzuri tu, nikashangaa kwanini yeye aseme anategemewa kwao ajira yake siyo nzuri sana. Kuchukunguza zaidi kumbe ni wale wanawake waliozoea kudanga kwa Waume za watu tena watu wazima umri kuanzia miaka 55 uko yeye ndiyo anapenda, kwahiyo alikua na mimi ili kuficha tabia yake kwa jamii iliyo mzunguka.
 
Tabu atapata huko Mimi sipo siwezi ishi maisha ya kudhania nikifa itakuwaje je anayejua Mimi natangulia nani? Usilazimishe kwa wanawake iwe kama wanaume hiyo itakusumbua sana, alafu siku huyo mtaftaji ukiondoka vitu vyote vyake hiyo hapana. Na huyo mtaftaji ndo huyo anayekupiga virungu na hutaki, wanawake wanayofanya kazi wapo tele watafute uone shughuli yake, mtu hata ndugu yangu akija hataki anaona pesa inaisha hiyo hapana.
duh! Mkuu et ata ndugu akija aone pesa inaishaa, umenifrahisha sana. Anyways hayo mambo ya nduguzo inategemea na anavoishi nao pia natabia ya huyo unae muita mke wako kama ni mchoyo ni mchoyo tu iwe kwa hela utazomuachia au za kizitafta mwenyewe binafsi.
 
Hapana mkuu niliogopa Kauli yake ile ya kumpa mwili mwanaune pamka kuna kitu kamfanyia na kingine yeye alikua single mother tena kazalishwa na Mume wa mtu tena ni mzee umri sawa na Mzee wangu, akili ikanijia huyu ni wale wadangaji wanao dang kwa waume za watu wanalipiwa kodi ya Nyumba nk, Nilivyoanza kumtongoza nilimshangaa anasema nimuhudumie ndipo ataanza kunipenda na swali lake kuu ni je utaweza kunihudumia na akasema yeye kwao ana tegemewa sasa kupeleleza ana ndugu zake ambao ni wakubwa kwake wana ajira nzuri tu, nikashangaa kwanini yeye aseme anategemewa kwao ajira yake siyo nzuri sana. Kuchukunguza zaidi kumbe ni wale wanawake waliozoea kudanga kwa Waume za watu tena watu wazima umri kuanzia miaka 55 uko yeye ndiyo anapenda, kwahiyo alikua na mimi ili kuficha tabia yake kwa jamii iliyo mzunguka.
leta ushuhuda mkuu. Baada ya hapo nini kilitokea? Ulikusanya vilago vyako au uliweka kambi?
 
duh! Mkuu et ata ndugu akija aone pesa inaishaa, umenifrahisha sana. Anyways hayo mambo ya nduguzo inategemea na anavoishi nao pia natabia ya huyo unae muita mke wako kama ni mchoyo ni mchoyo tu iwe kwa hela utazomuachia au za kizitafta mwenyewe binafsi.
Nataka ukumbuke huyo wa job siku sintofahamu ikitokea safar mpaka mahakamani halafu utaleta story tumegawana Mali na mke wako na hutaleta kissa Cha kugawana Mali ni nini, kumbuka Mwanamke mtaftaji ni mwanaume mwenzako elewa hivyo
 
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
Huyo ni wewe sio wote wako kama wewe.
 
mkuu mbna unahalalisha utapeli.. et kununua kitu kwa hela yake roho inamuuma sasa unataka anunue na hela za nan ambazo hazina kazi.. utavunwa sana kwa hali hii hadi akil ikukae sawa mkuu.
Mkuu huyo Mwanamke amekuomba na wewe unatakiwa ufahamu je naombwa kitapeli au ana shida kweli unatakiwa ufate moyo wako, Mimi mwanamke akiniomba pesa kitapeli na jua na simpi. Maana wanatabia ya kuomba pesa kwa kukupima utakuta anatongozwa na mwanaume mwingine kwa hiyo ana wapima wote kwa kujifanya ana shida ya pesa kwahiyo atakae tuma bila kukumbushwa mara nyingi ndiyo ana kubaliwa mgumu kutuma unaachwa kijanja kama bado ana kupenda ila kama hakupendi unaachwa mazima.
 
kwahyo zigo la misumari anabebeshwa nice guy sio?
 
Wasalam wakuu,

Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.

Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.

Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
Usiumize kichwa kwaajili ya hao watu ndugu. Walio wengi thamani yao kwa mwanaume ni fedha tu na si kingine. Fedha kwao ndiyo kiunganishi wala hawana mpenzi ya kweli kama wanaume walivyo. Mwanaume anapenda bila kuangalia uchumi wa mwanamke.
Na hili lina sababishwa na wanawake kufananisha au kulinganisha viungo vyao vya uzazi kwamba vina thamani ya fedha.
 
Na wenye pesa nao wanataka uwasapoti biashara zao unaambiwa "baby nicash mil 3 niweke sawa pale dukani" utawakumbuka mbona wenye shida za afu 20
Mmoja aliniomba nimuongezee 5mil kwenye duka la vinywaji la jumla,nikasema tu NTOMBANEWE.
 
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
Hii komenti yqko akiiona madam Penny itamuudhi
 
Iwe chai au supu,
Unatongaze job seeker
Usitongaze mwanamke ambaye ukipanga nae date anakosa nauli au anataka umfuate alipo
Haha, kwa hiyo job seekers wao hawastahili mitongozo hadi wakae sawa kiuchumi!

Ila bwana, unapanga date mtoto anakuambia umtumie nauli, its a turn off!
 
Back
Top Bottom