Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Kumpata huyo sasa Nilikua na lidemu tuliite malaya la chinichini kwenye maongezi yetu sikumbuki vizur ilianzaje nakumbuka alisema Mimi nimpe Mwanaume mwili wangu anichezee kanifanyia nini nikajiuliza huyu inamaana kumbe yeye anaangalia umemfanyia kitu gani ndiyo akupe mwili nikajua huyu mdangaji.
Piga chini malaya iyo kaka siku akitaka maokoto mwambie akupe pussy uifumue yaani hii inaitwa nipe nikupe
 
Daah! ila hii ni dharau. tengua hii kauli kabla siku haijapinduka. tena hao wanaume labda wa huko daslam, wa huku kwetu ni vidume kwelkwel hawanaga huu ujinga ujnga.
Kwenu ni wapi Mkuu?
 
wapi nimeongelea sehemu za starehe mkuu.
kuna watu kweli wanashda nakweli ataakija kukueleza unaguswa kumsaidia lakn tunaongelea hapa niwale watoto wa mjini matapeli yani wazee wa kucheza na fursa. ndo watu au mapepo tunayoyakemea hapa mkuu.
Matapeli wa mjini wanaocheza na fursa utawakuta Club, baa, Insta na kwenye Badoo and the co
Huko ni kazi kazi tu
 
Kumpata huyo sasa Nilikua na lidemu tuliite malaya la chinichini kwenye maongezi yetu sikumbuki vizur ilianzaje nakumbuka alisema Mimi nimpe Mwanaume mwili wangu anichezee kanifanyia nini nikajiuliza huyu inamaana kumbe yeye anaangalia umemfanyia kitu gani ndiyo akupe mwili nikajua huyu mdangaji.
hiyo ni redflag mkuu ndo tabia za wanawake maskin na maneno yao. kwani mwamke maskin hata ukiongea nae chamaana anakua hana. sasa uwa nashangaa watu wanachukuaje viumbe kama hivi na kuviweka ndan et ndo wake zao ndo mana matukio ya ajabu hayaishaga. utasikia mara wife hvi mara vile shida mtupu. namtaendelea kutangulia mbele za haki kwa kuwaendekeza hawa matapeli.
 
Matapeli wa mjini wanaocheza na fursa utawakuta Club, baa, Insta na kwenye Badoo and the co
Huko ni kazi kazi tu
upo sahihi ila mimi siongelei hao, hawahawa unao waona descent women with innocent face hawa ndo htari. hao wa baa cjui club watajuana wenyew na walevi wenzao wanajuana wenyew wanaishi dunia yao.
 
Kumpata huyo sasa Nilikua na lidemu tuliite malaya la chinichini kwenye maongezi yetu sikumbuki vizur ilianzaje nakumbuka alisema Mimi nimpe Mwanaume mwili wangu anichezee kanifanyia nini nikajiuliza huyu inamaana kumbe yeye anaangalia umemfanyia kitu gani ndiyo akupe mwili nikajua huyu mdangaji.
Kwahiyo mkuu wewe unataka demu atakaye kuwa anakupa mzigo tu bila malengo yoyote ili mradi tu umalize nyege zako

Mkuu hawa ni mama zetu dada zetu mabinti zetu na bibi zetu wana malengo yao pia kwenye maisha na sio kazi yao kukuvulia chupi wanaume tu

Next time ukiulizwa hivyo ujue mwanamke anataka kujua una malengo naye gani? Ndoa au raha zako.
Kama shida yako ni nyege zako tu basi ujue nayeye anashida ya hela
 
Pesa muhimu sana ni kama chachandu kwenye mihogo au kachumbari kwenye pilau au nyama kwenye supu.
 
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
Hii imeenda.

Hili jimbo linafaa kabisa kwa mahusiano. Ukihitaji kuwa kwenye mahusiano, nipo hapa Mkuu.
 
Kwahiyo mkuu wewe unataka demu atakaye kuwa anakupa mzigo tu bila malengo yoyote ili mradi tu umalize nyege zako

Mkuu hawa ni mama zetu dada zetu mabinti zetu na bibi zetu wana malengo yao pia kwenye maisha na sio kazi yao kukuvulia chupi
kwahyo malengo yao yanatimia kwa utapeli, usalit, uhuni nk. mkuu cjui kama umeelewa kinacho jadiliwa kwenye huuzi. ebu pitia wachangiaji wengi wamechangia nini walio elewa mada. mana naona kama unataka tubishane na ukwel unaujua.
 
Kwahiyo mkuu wewe unataka demu atakaye kuwa anakupa mzigo tu bila malengo yoyote ili mradi tu umalize nyege zako

Mkuu hawa ni mama zetu dada zetu mabinti zetu na bibi zetu wana malengo yao pia kwenye maisha na sio kazi yao kukuvulia chupi wanaume tu

Next time ukiulizwa hivyo ujue mwanamke anataka kujua una malengo naye gani? Ndoa au raha zako.
Kama shida yako ni nyege zako tu basi ujue nayeye anashida ya hela
kuna mchangiaj anaitwa nakwede97, huyu kaelewa mada ni mfano t
 
kwahyo malengo yao yanatimia kwa utapeli, usalit, uhuni nk. mkuu cjui kama umeelewa kinacho jadiliwa kwenye huuzi. ebu pitia wachangiaji wengi wamechangia nini walio elewa mada. mana naona kama unataka tubishane na ukwel unaujua.
Ni watoto wenzako ndio wanao kuelewa zaidi mkuu

Wewe unapo mtongoza demu huwa unataka nini haswa
 
wengine haijalishi ana kazi au hana yeye mwendo wa kugogoa tu mara vocha mara gesi mara ela ya kodi
Kazi zao huwa ni za kujilinda endapo ikitokea sintofahamu sio Ili msaidiane maisha hivyo ndivyo ninavyojua kwangu ni Bora awe WA nyumbani tu
 
Wasalam wakuu,

Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.

Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.

Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
😃Umejuaje kuwa hana Pesa....
 
hama huko kwa ajili ya afya yako ya akili na mwili pia mana utakufa kabla ya siku zako. hao broke women kwa asilimia kubwa ndo wasaliti, hawana shukran, matapeli, hawana mapenzi ya kweli, siku akizipata ndo utazijua rang zake na kila kitu. kma unajifanya mbish sawa.
Anayekufa hizo ndo siku zake jitahid kutafta Mwanamke anayeeleweka, nimesema wangu niwa nyumbani, azipate wapi? No job no business, Kaa upike ufue huwezi Kila mtu ashike hamsini zake, bila kusahau Ibada ni LAZIMA, no ibada no couple.
 
mkuu nyinyi ndo mnafanya hii nchi iwe maskini, yani kwanini nguvu kazi ya familia na taifa ibaki home badala ya kuzalishaa, msaidiane majukumu. yani huyu hata ikitokea umetoweka dunian atapata tabu sana na watoto wako mkuu.
 
Back
Top Bottom