Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Dah! Ila kwenye huu uzi tutaona shuhuda nyingi sana za wanaume walivofanyiwa na ke.
Inakera mkuu sio kwamba humtunzi hapana , ila utashangaa sms nna njaa sijala toka asubuhi naomba afu tatu, ogopa demu wa hivyo mkuu ,mjinga ataona,

Demu hana gharama huyu kumbe hizo afutatu tatu anaomba kwa watu kumi hapo hukosi , UTI sugu,papuchi iliyochokaa na kutepeta
 
kaka kuna kadem flan kanasoma pharmacy kameniomba aftatu au ndo redflag hiyo nianue zangu kasije nipa UPARANTA
 
Na wenye pesa nao wanataka uwasapoti biashara zao unaambiwa "baby nicash mil 3 niweke sawa pale dukani" utawakumbuka mbona wenye shida za afu 20
afadhali hata huyu najua nikikwama ata nikwamua kuliko hawa wa af20, kwanza hawa aibu kutokana na njaa zinawakimbiza kama bodaboda pili hawana shukran. Yan niviumbe vya ajabu sana.
 
Na wenye pesa nao wanataka uwasapoti biashara zao unaambiwa "baby nicash mil 3 niweke sawa pale dukani" utawakumbuka mbona wenye shida za afu 20
Hatari mtu wangu, halafu wengine wajanja, mwanaume unamhonga ukijua unamsaidia, kumbe mwenzio anajenga nyumba yake nzuri, na gari ananunua, mwanaume unabakia kuishi kwenye nyumba za kupanga

Binafsi kuna wadada hadi nimewakimbia, unakuta hujamtongoza wala hujamuomba hata namba ya simu, ni ile tu mmezoeana, ila karibia kila siku vizinga, looh princess ariana
 
Mkuu acha kabisa!narujua acha kabisa uzuri hata wao wanasema hawapendi "nice guy"sa jipendekeze
ko kumpa mwanamke kitu ni adi iwe kwa mapenzi ya me na sio kwa kumuonea huruma au kushinikizwa na ke.
 
Hatari mtu wangu, halafu wengine wajanja, mwanaume unamhonga ukijua unamsaidia, kumbe mwenzio anajenga nyumba yake nzuri, na gari ananunua, mwanaume unabakia kuishi kwenye nyumba za kupanga

Binafsi kuna wadada hadi nimewakimbia, unakuta hujamtongoza wala hujamuomba hata namba ya simu, ni ile tu mmezoeana, ila karibia kila siku vizinga, looh princess ariana
Dah! kupitia hii comment umenisanua kitu. barikiwa sana mkuu.
 
Binafsi kuna wadada hadi nimewakimbia, unakuta hujamtongoza wala hujamuomba hata namba ya simu, ni ile tu mmezoeana, ila karibia kila siku vizinga, looh @princess ariana
mkuu we mwamba sana haujapepesa macho [kwa sauti ya maulid baraka kitenge] umemaliza kila kitu apaapa 🤣
 
Tafuta wenye kazi wasio na kazi tuachie sisi, au tafuta Mwanamke mwenye pesa uhamie kwake atalipa Kila kitu we utakula na kulala na utamkula na yeye pia.
 
Wasalam wakuu,

Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.

Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.

Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
ushenzi wa kuombwaombwa hela na wanawake siku hizi siutaki na sina mpango wa kuwa na mahusiano na mwanamke asiye na shughuli ya kumpatia hela.
 
Back
Top Bottom