Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hivi hii haki sawa mbona huwa mnaihubiri linapokuja suala la pesa tu!!! Ila kwa mambo mengine mnang'aka hatari!Zile haki sawa mlizokuwa mnataka zifundishwe mpaka mashuleni mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili, vijana walizielewa so mda wakuziapply,ile mbegu iliyo pandwa ishaanza kuzaa.
Kuna kizazi kijacho cha wanawake watakuwa wakisumuliwa story za bibi zao watashangaa kusikia walikiwa wanahongwa majumba na magari kwani kwao itakuwa tofauti, kwani hata Nabii Isaya alisha ya tabiri.