Kabisa mkuu, juzi kuna pisi moja nliiona imepostiwa na rafiki yake, nikaomba namba, tukabonga na yule dada fresh kuwa jumamosi tukutane(hapo ilikuwa juma5).
Jmosi siku ya gemu ya wananchi vs TP Mazembe, sikuwa na time nae ,yeye ndio akanichek hello ,hello tunaweza onana nikasema ndiyo, kama vp njoo ntakurefund gharama zote ulizotumia, dada wawatu kaja kwa gharama zake mwenyewe hata bila kubisha , mind that hatujuan zaidi ya picha za dp kwa whatsapp.
Amekuja tumekesha kesha, night nikampa shuka la masai aka appreciate akasepa.
Pisi imenyooka sema kanizidi miaka 8