Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

Wasalam wakuu,

Kama mada inavojieleza. kwenye haya maisha inatokea kunamwanamke unampenda sana yani nawewe unatamani arudishe upendo kama unavompenda.

Cha ajabu sasa kadri siku zinavozidi kwenda unahisi kabisa mapenzi huyaoni ila unaona kabisa anakuchukulia ni kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi hadi unahisi huyu atakua anataka tu kuokota kwa mgongo wa mapenzi.

Wanawake achen utapeli kama hela taften na nyie zakwenu kwenye mahusiano kila mtu kuna umuhimu wa kuprovide a provide.
I would rather date a broke bitch.Hawa chicks wenye pesa wasumbufu sana.kwanza mapenzi yenyewe anakupimia,ukiomba apointment atakuambia ngoja aone ratiba zake.akati the broke one fasta asharukia boda.
 
Hatari mtu wangu, halafu wengine wajanja, mwanaume unamhonga ukijua unamsaidia, kumbe mwenzio anajenga nyumba yake nzuri, na gari ananunua, mwanaume unabakia kuishi kwenye nyumba za kupanga

Binafsi kuna wadada hadi nimewakimbia, unakuta hujamtongoza wala hujamuomba hata namba ya simu, ni ile tu mmezoeana, ila karibia kila siku vizinga, looh princess ariana
Mkuu acha hawa viumbe wa ajabu, kuna mmoja aliangusha 20k, akaja inbox kanitext viemoji vya huzuni nikamuuliza nn shida akajibu naomba 20k nikamuuliza ya nn, akasema nimepoteza hela yangu, mi nikamuuliza kwani mimi ni mtu wako hadi uniombe helaa akasema jaman kukuomba hela hadi niwe mtu wako nikasema ndio mimi pia na mtu wangu namuhudumia nawewe akuhudumie anaekukula
 
Hapana shindikanaa mwaka huu nimeacha bia nipo smart kusaidia mambo flani flani hiv😜😜
Kwani shindikana unaumwa? Bia unamuachia nani sasa? Hebu kuwa serious na maisha bwana🤣
 
Kwani shindikana unaumwa? Bia unamuachia nani sasa? Hebu kuwa serious na maisha bwana🤣
Shindikanaa kiukweli nataka nifanye meditation kwa umakini zaidi ili niwe kwenye viwango vya juu ,bia nimeacha toka January 1 kwa usaidizi wa Kiranga nitakuja hapa January 2026 kutoa ushuhuda ikiwezekana , ila pombe na wanywa pombe nitawatetea daima.
 
Huyo hajakupenda trust me mim ni mwanamke naelewa Ivo vitu huyo Hana mapenz na ww mwanamke anayekupenda sio mtu wa kufanyia Ivo mfano mim nikiwa nahitaj kua na mahusiano na mtu ni inatoka moyon kwamba moyo umedhamiria kua na huyo mtu swala la hela litakuja endapo Kuna ulazima wa kutaka au kupewa hizo hela sio Kila wakat Sasa hapo nitakua najiuza au ni kitu gan
Ujengewe mnara kàma kweli uko hivyo. Ila trust me mwanamke anakutongoza ukimchekea kidogo tuu kesho shida zote anataka utatue.
 
Shindikanaa kiukweli nataka nifanye meditation kwa umakini zaidi ili niwe kwenye viwango vya juu ,bia nimeacha toka January 1 kwa usaidizi wa Kiranga nitakuja hapa January 2026 kutoa ushuhuda ikiwezekana , ila pombe na wanywa pombe nitawatetea daima.
Karibu sana Team Kataa Pombe.
 
Hapana mkuu niliogopa Kauli yake ile ya kumpa mwili mwanaune pamka kuna kitu kamfanyia na kingine yeye alikua single mother tena kazalishwa na Mume wa mtu tena ni mzee umri sawa na Mzee wangu, akili ikanijia huyu ni wale wadangaji wanao dang kwa waume za watu wanalipiwa kodi ya Nyumba nk, Nilivyoanza kumtongoza nilimshangaa anasema nimuhudumie ndipo ataanza kunipenda na swali lake kuu ni je utaweza kunihudumia na akasema yeye kwao ana tegemewa sasa kupeleleza ana ndugu zake ambao ni wakubwa kwake wana ajira nzuri tu, nikashangaa kwanini yeye aseme anategemewa kwao ajira yake siyo nzuri sana. Kuchukunguza zaidi kumbe ni wale wanawake waliozoea kudanga kwa Waume za watu tena watu wazima umri kuanzia miaka 55 uko yeye ndiyo anapenda, kwahiyo alikua na mimi ili kuficha tabia yake kwa jamii iliyo mzunguka.
Wewe ulipo mtongoza ulikua unataka nini kwake mkuu?
Kwasababu kama ulikua unamalengo naye ungemwambia nataka kukuoa halafu ungeona kama angeuliza tena hilo swali

Tatizo wanaume tusumbuliwa na mfumo dume

Mimi kwenye maisha yangu pengine nimetongoza mademu zaidi ya 500 lakini 99% nilikua nataka kumaliza nyege zangu

Mfumo dume umefanya wanawake kuwa chombo cha starehe..... unagonga gonga baada ya muda unaruka na mwingine
Sasa kuwavua chupi ni haki yako lakini wao nao wanachoona wanaweza kupata kwako ni hela pia halafu mnaanza kulia lia

Huyo mkeo tu nyumbani kama hana kazi unamnunulia na kuhudumia kila kitu ila ukiombwa na demu unayeta kutolea nyege unalialia

Starehe gharama mkuu
Ukitaka demu wa kustarehe utagharamika tu haswa kwenye maisha yetu ya kimasikini ambayo wanawake tumewazilisha na kuwatelekeza na hawana kaZi za maana kujikimu
Ukienda na nyege zako toa hela..... PERIOD
Mtoto wa kiume unaliaje kuombwa hela? Kapige punyeto huko
 
Bro nishaimsaidia manzi ambae ni demu wa mwanangu sana 5k ya kulipia luku, akaenda kumponda jamaa ake kuwa huwez kunisaidia hela hadi rafk ako xxxx anisaidie, xxxx ni.mwanaume na nusu. Jamaa badae akaja niuliza juu ya hii ishu.

Baadae the same manzi ananiomba laki 5 akamilishe kulipa ada za mdogo wake nikamkataa mazima ndio ikawa mwisho wa kuwasiliana nae.
Hakuwa na sababu hata ya kumwambia maana ingeweza kuleta shida kwenye urafiki wenu
Mara ya pili ulifanya sawa kumkataa
 
Acha uchoyooo.
Mimi ni mtoaji Sanaa na Nina huo mkono ilaa..na allergies na wanawake omba omba/ huwa na chuki nao sababu kipindi najitafuta niliachwa na mwanamke nilie tamani kumuona siku zoteee za Maisha yangu akaenda kwa wenye pesa..sikuwai nunua shati,nguo chochote nilimfikilia yeye kwanza na hakuyaona yotee

Una jua Nini mwanamke mnaonana Mara nywele zimefumuka,gesi imeisha, Kodi imeisha, luku imeishaa, hapo hapo mtumie pesa ya kula 😂😅 Mimi ni jeuri yaan pesa ninayo na unajua ninazo sikupi pia sijawai na sitowai KUHUDUMIA mwanamke omba omba..na pesa ninayo sikupi
 
Aliomba umkope au umpe kama grant
Wapo wanao rudishaa kabisaa mmoja last year mwanzoni nilimpa 500k atanirejeshea..

Nikamwambia siku ukiwa powa utanirejeshea from January to December sina hili Wala lile Dr am 4 real PhD
Niweke kwenye account au kwenye simu nikajibu popotee.. ikathibitishwa duu sikutarajia Kama ningerejeshewa Ile pesaaa

Mimi slogan yangu ni kama ya YESU KRISTO mkopeshe mtu bila kutazamia kulipwa

All in all,
Kuna wanawake/ mpenzi wa kike mnakopeshana na kulipanaa.
 
Ni watoto wenzako ndio wanao kuelewa zaidi mkuu

Wewe unapo mtongoza demu huwa unataka nini haswa
Kwa mimi nataka tuwe pamoja kimapenzi na tabia ikiwa nzuri ni muoe awe mke wangu tuanzishe familia pamoja.
 
kwahyo zigo la misumari anabebeshwa nice guy sio?
Mwanamke akikupenda hata akiolewa namba yako haifuti anakua nayo ata sada zake kama walikua wanakujua na walikua wanakukubali namba zako hawazifuti.
 
Back
Top Bottom