Kuwa na mpenzi JF inawezekana πŸ’•

Sijui nikujibu vp lkn kwa nyakati zle wadada walikua wanapenda mtu lkn nyakati hz upendo ni mpka uwe na potentiallity flan either cheo, utajiri au talent
Iko hivyo tangu na tangu, Either awe majasiri waua simba, shupavu wa kulima kijijini, na vingine vya udume udume sasa we leo unataka nipende tu komwe lako au vipensi vinjunga 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 nehi nehi. BTW this is new testament
 
Kuna wadada watatu humu wapo very decent na loyal pia wives materials
1. Depal
2. Demi
3. ....

A luck man is one to hold hand of any of above
Aikoooo.πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• huzuni moyoni kuona adui wako, be tributed. wakati mi nakajua katapeli haka Depal komwe limevutika mpaka dodoma🀣🀣🀣
 
Zilikua ni added advantage tu hazikuwazuia wengine kuoa watoto wazur wazur.... unafkir Ibrahim alikua na maajabu gani hadi kumuoa Sara (Sara alikua pisi kali kasome vzr), Kuna yule askari ambae alipelekwa Frontline baada ya mke wake kupigwa na Daudi... issue ni kwamba hzo Mali, vyeo na vipaji kugeuzwa kua OTP ya mahusiano
 
Ibrahim babaake tera alikua don wewe alikua Mfugaji na ma V8 Mengi (magari ya Punda). 🀣 🀣 🀣 na sahivi tunataka ambacho huna, ukiwa na hela tunataka Body and viceversa, Ukiwa na body tunataka Gari, kuvulugana tu kila mtu ashinde zake 🀣🀣🀣🀣 Upendo umepoa, si nimekwambia tupo new testament Ringo
 
Sasa ndo utofauti wenu na mabinti zamani wao hawakua hvo .....siku hz unakuta kbs mshangazi aliezaliwa Kati ya 1998-2004🀣 nae hana akili kbs Hapo hujakutana na mibibi ya 90's🀣 yaan full vurugu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…