Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Tanzania ina watu milioni 60 kama sijakosea😀😀
Ina wendawazimu,machakaramu,wapole,wakarimu,wenye roho mbaya,waninafsi,wenye kujielewa,wasiojielewa,masikini,matajiri,washirikina,walokole 😃😃watu ni wengi jamani.

Ndivyo vivyo hivyo na jf.inategemea umetulia wapi
Sasa tabia sio shida....ila hii advantage ya kutokujulikana humu Kuna mda inatumika vbya
 
Back
Top Bottom