Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kwani mleta mada kisha pewa muongozo chief?
Tushamwambia aendelee...
Ikitokea kalizwa tutamtafutia mwingine...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mleta mada kisha pewa muongozo chief?
kila la heriNdio nimeolewa si mchepuko au 😜
Ndo ujue you are loved yaani😄Aisee...
Yeyoooo🤸♀️🤸♀️🤸♀️Ndio nimeolewa si mchepuko au 😜
yaishe tu nisije leta ubishi hapa😂Moyo kwani unapenda watu wangapi.?
Hakuna kumpa nafasi kabisa..Hamna shida kabisa,, kijana asizingatiwe kwa hoja yake
Lenie mungu anakuona 😂😂raraa reree mtu mbad, anaanziaga mbali sana na likes zake adi mdada unajihisi uko heaven🤣🤣
👊👊👊👊👊tunamshauri kulingana na maelezo yake
hapa nilichoelewa ni kwamba kampenda mtu anaomba green light
ila ni kweli nimefanya ukuda hapa, ningevunga tu
Haha sitaki. Nataka tu utag namba 3 wako
Kikubwa usingizi ndugu mtanzania mwenzanguMkuu kwanini unalala peke yako?
Sasa tabia sio shida....ila hii advantage ya kutokujulikana humu Kuna mda inatumika vbyaTanzania ina watu milioni 60 kama sijakosea😀😀
Ina wendawazimu,machakaramu,wapole,wakarimu,wenye roho mbaya,waninafsi,wenye kujielewa,wasiojielewa,masikini,matajiri,washirikina,walokole 😃😃watu ni wengi jamani.
Ndivyo vivyo hivyo na jf.inategemea umetulia wapi
Ha ha ha haaararaa reree mtu mbad, anaanziaga mbali sana na likes zake adi mdada unajihisi uko heaven🤣🤣
Tuungane mkuuKikubwa usingizi ndugu mtanzania mwenzangu
La msingi. 😃😃tunamshauri kulingana na maelezo yake
hapa nilichoelewa ni kwamba kampenda mtu anaomba green light
ila ni kweli nimefanya ukuda hapa, ningevunga tu
Sawa mkuuSasa tabia sio shida....ila hii advantage ya kutokujulikana humu Kuna mda inatumika vbya
Ntakunong'oneza nikija Ntwara🤣Haha sitaki. Nataka tu utag namba 3 wako