Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kumekucha na makucha yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitujaribu wote ukatumaliza?Wanawake wa siku hizi hawaridhiki kabisa.
Tulia, ukweli ndio huo.Ulitujaribu wote ukatumaliza?
Mtoto mchanga na umbile lake lote lenye nyama na mifupa anapita vizuri bila shida, sasa mashine yenye nyama tupu inayosimama kwa nguvu ya msukumo wa damu itafanya nini?Nimekaa nikatafari sana kwa nini hili tatizo la wanawake walioolewa kuchepuka limekuwa kroniki?
Hapo awali nilidhani walio na mipini mikubwa huwa hawapigiwi wake zao.
Lakini ukiingia mitaani utakuta ni mambo ya ajabu kabisa. Mtu anajisifia kijiweni kuwa ana mpini ulioshiba lakini wahuni wanampigia na kutangaza, hii haijakaa sawa.
Wanawake wa siku hizi hawaridhiki kabisa.
Hadi wewe??Kamanda kwani kula ugali mkubwa ndiyo kushiba?
Duuh!!Mtoto mchanga na umbile lake lote lenye nyama na mifupa anapita vizuri bila shida, sasa mashine yenye nyama tupu inayosimama kwa nguvu ya msukumo wa damu itafanya nini?
Hatuendi kugonga demu ili aridhike, bali ili turidhike. Ukisharidhika ww inatosha, acha kuleta ufundi kiwanja cha ugenini.
Nimekaa nikatafari sana kwa nini hili tatizo la wanawake walioolewa kuchepuka limekuwa kroniki?
Hapo awali nilidhani walio na mipini mikubwa huwa hawapigiwi wake zao.
Lakini ukiingia mitaani utakuta ni mambo ya ajabu kabisa. Mtu anajisifia kijiweni kuwa ana mpini ulioshiba lakini wahuni wanampigia na kutangaza, hii haijakaa sawa.
Wanawake wa siku hizi hawaridhiki kabisa.
right, kuna shemeji yangu hunambia kaka yako hajiwezi ila nimekua nae kwa sababu nampenda tu, huyu shem anajiheshimu sana.
kwenye PPF curve tunasema inefficient use of resourceUnaweza kuwa na rasilimali ila usijue jinsi ya kuitumia effectively hapo ndipo linapokuja swala la kuchapiwa
Ngoja niiandike kwenye kitabu cha wahenga kizazi kijacho kitatumia kama misemo.Kamanda kwani kula ugali mkubwa ndiyo kushiba?
👏sababu kubwa zinazopelekea kuchepuka:
1. kua na mwenza ambae hamuendani(si wa type yako) ila umelazimika kuwa nae kwa sababu za kimaisha/mazingira
2. tamaa( hapa kuna tamaa za kimwili & tamaa za pesa)
3. kutoridhishwa
Sio umalaya tu?Ukiona mwanamke anaisaliti ndoa ujue kuna shida mahali
hili jibu tosha kabisa agiza balimi bidadaKamanda kwani kula ugali mkubwa ndiyo kushiba?