Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioKamanda kwani kula ugali mkubwa ndiyo kushiba?
Nimekaa nikatafari sana kwa nini hili tatizo la wanawake walioolewa kuchepuka limekuwa kroniki?
Hapo awali nilidhani walio na mipini mikubwa huwa hawapigiwi wake zao.
Lakini ukiingia mitaani utakuta ni mambo ya ajabu kabisa. Mtu anajisifia kijiweni kuwa ana mpini ulioshiba lakini wahuni wanampigia na kutangaza, hii haijakaa sawa.
Wanawake wa siku hizi hawaridhiki kabisa.