Kuwa na mwanamke ambaye Wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba

👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani kuna namna wanakuwa ni watu ambao wanakuwa wakavu na hawaogopi ata kuua, kuvunja mahusiano kwao sio tabu

👉Mwanamke ambae amekosa malezi ya baba huenda mama yupo.huyu nae kwa namna moja ama nyingine ukiwa nae ni kipengele pia

Hii imekaaje kitaalamu?
 
binadamu yoyote anaweza kuua,kupenda,kutokupenda n.k tunatofautiana experience tu na hizohizo experience za maisha ndio zinatufanya tuwe na miongozo,imani,maarifa,hisia fulani fulani juu ya jambo fulani so, ni ngumu moja kwa moja kusema ya kwamba
"Kuwa na mwanamke ambae wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?"
 
[emoji117]Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani kuna namna wanakuwa ni watu ambao wanakuwa wakavu na hawaogopi ata kuua, kuvunja mahusiano kwao sio tabu

[emoji117]Mwanamke ambae amekosa malezi ya baba huenda mama yupo.huyu nae kwa namna moja ama nyingine ukiwa nae ni kipengele pia

Hii imekaaje kitaalamu?
Mapenzi hayaigwi yanakua automatically nafsi ikipenda kuoa yatima wa wazazi wawili sio sababu ya mtu kukosa upendo kwa mwenzie kabisa.
 
Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba

👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani kuna namna wanakuwa ni watu ambao wanakuwa wakavu na hawaogopi ata kuua, kuvunja mahusiano kwao sio tabu

👉Mwanamke ambae amekosa malezi ya baba huenda mama yupo.huyu nae kwa namna moja ama nyingine ukiwa nae ni kipengele pia

Hii imekaaje kitaalamu?
Tupatie definition ya mapemzi ya dhati.
 
Mme hamia kwa yatima na mambo yenu ya kufikirika,,,, yatima hapa na ndoa yangu tunapendana hatare manispaa niliyopo mi ndo role model wao...... watoto watano na mimba juu natunapendana sanaaaa. Kama umepata yatima asie na akili hilo no kosa lako
 
Dah mbona povu sana🤣Huyu wangu simwelewi aseeh Yan anaomba hela mpaka kero
 
Inategemea Baada ya kufiwa na hao wazazi mhusika aliangukia kwenye malezi ya nani!!

Kama aliemlea alimlea Kwa mateso mhusika anakua mkavu Sana na katili kuliko!!

Utoto wa mtu ndio hubeba hatma ya utu uzima wake!!wewe ulivyo Sasa ni matokeo Yako ya umri sifuri Hadi umri wa 18 miaka !!

Utu wako ni matokeo ya enzi hizo za utoto wako wakati unakua!!!
Kuna mmoja alisikika "Mama nilisha Zika siwezi Lea mama mwingine" maana yake hakupata mama mwingine wa kumlea vizuri kwa upendo!!
binadamu yoyote anaweza kuua,kupenda,kutokupenda n.k tunatofautiana experience tu na hizohizo experience za maisha ndio zinatufanya tuwe na miongozo,imani,maarifa,hisia fulani fulani juu ya jambo fulani so, ni ngumu moja kwa moja kusema ya kwamba
"Kuwa na mwanamke ambae wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?"
Baada
 
Back
Top Bottom