Mapenzi hayaigwi yanakua automatically nafsi ikipenda kuoa yatima wa wazazi wawili sio sababu ya mtu kukosa upendo kwa mwenzie kabisa.Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba
[emoji117]Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani kuna namna wanakuwa ni watu ambao wanakuwa wakavu na hawaogopi ata kuua, kuvunja mahusiano kwao sio tabu
[emoji117]Mwanamke ambae amekosa malezi ya baba huenda mama yupo.huyu nae kwa namna moja ama nyingine ukiwa nae ni kipengele pia
Hii imekaaje kitaalamu?
Usiseme hivyoTuna upendo mwingi wa kutoa kwasaabu tunajua jinsi inavyouma kuto kufeel kupendwa, lakini pia hatuogopi kuachwa peke yetu kwani kama wazazi walituacha wewe ni nani usituache pia.
Nisemeje sasa😂😂Usiseme hivyo
Hairisha kusema hivyoNisemeje sasa😂😂
Tupatie definition ya mapemzi ya dhati.Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba
👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo.
Ata kule ndoani kuna namna wanakuwa ni watu ambao wanakuwa wakavu na hawaogopi ata kuua, kuvunja mahusiano kwao sio tabu
👉Mwanamke ambae amekosa malezi ya baba huenda mama yupo.huyu nae kwa namna moja ama nyingine ukiwa nae ni kipengele pia
Hii imekaaje kitaalamu?
Mimi Ninae mzazi mmoja tu Ata mimi kuna design Sina upendo kiivo kwa wanawakeAcha uoga hata wazazi wako watakufa tuu na wewe hata mimi woote tutakufa tuu
Mapenzi ni hisia zilizoambatana na makubaliano mazuri baina ya pande 2,!!!
Budah yupo binti huyo Yan anaomba omba hela mpaka ya vocha🤣Oa yatima huyo utakuja kunishukuru. Hawa wenye wazazi wote wawili lkn wanalala vyumba tofauti ni pasua kichwa
Dah mbona povu sana🤣Huyu wangu simwelewi aseeh Yan anaomba hela mpaka keroMme hamia kwa yatima na mambo yenu ya kufikirika,,,, yatima hapa na ndoa yangu tunapendana hatare manispaa niliyopo mi ndo role model wao...... watoto watano na mimba juu natunapendana sanaaaa. Kama umepata yatima asie na akili hilo no kosa lako
Piga chiniBudah yupo binti huyo Yan anaomba omba hela mpaka ya vocha🤣
Dah mbona povu sana[emoji1787]Huyu wangu simwelewi aseeh Yan anaomba hela mpaka kero
Baadabinadamu yoyote anaweza kuua,kupenda,kutokupenda n.k tunatofautiana experience tu na hizohizo experience za maisha ndio zinatufanya tuwe na miongozo,imani,maarifa,hisia fulani fulani juu ya jambo fulani so, ni ngumu moja kwa moja kusema ya kwamba
"Kuwa na mwanamke ambae wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?"