[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kwenye maisha usikate tamaa,na mimi leo nimekuwa wa kwanza kucoment siamini!
Nyie ndo mnatufanya tujichubue.
I'm not black ila naona watu wanavyohangaika kutumia chemicals ili wawe weupe. Ila weupe unavutia bwanaWala usiende huko kabisa, black is always beautiful.
Yani we jamaa umenifanya nicheke sana...😛😛😛😛Kweli kwenye maisha usikate tamaa,na mimi leo nimekuwa wa kwanza kucoment siamini!
I'm not black ila naona watu wanavyohangaika kutumia chemicals ili wawe weupe. Ila weupe unavutia bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kwenye maisha usikate tamaa,na mimi leo nimekuwa wa kwanza kucoment siamini!
Niko hapa [emoji12]Kama me navopenda men weusi,...
Kwenye sayansi ya mapenzi, mwanamke black afu natural wanakuwa na stimu zao hivi.I'm not black ila naona watu wanavyohangaika kutumia chemicals ili wawe weupe. Ila weupe unavutia bwana