Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Wanawake wembamba ndo huwa wazuri na wanavutia sana kuwafanya wife.. Hata kama unatembea nae barabara unajihisi furaha moyoni.. Ila sasa ni wanaviburi alafu wakorofi balaa yaani kukusaliti haoni shida.. Tena ukute kembamba alafu alafu kana rangi ya chocolate... Uwiiiiiiiii hapo lazima ufe kabla ya siku ulizopangiwa na Mola.. Wanawake wembamba salam zenu popote mlipo ila punguzeni dharau baaaaasii
Hahahha asante kwa kunichekesha asb hii, salam tumezipata mkuu. Tutalifanyia kazi ombi lako
 
5a93653c7d3a256d76825105f86fdd41.jpg
 
Uchunguzi wangu mdogo niliweza kugundua ni haya....

1/Wanawake wengi wa Kiafrika wanapenda sana kuonekana weupe na wenye nywele ndefu (Yaani wanapenda kufanania na wazungu)

2/Wanawake wenye Ngozi nyeupe wanajiamini na Kujivunia zaidi rangi ya ngozi yao kuliko wanawake wenye rangi nyeusi, hiyo ni kwa sababu kiasili wako wachache kwenye jamii za kiafrika lakini pia kwa sababu ya kufanania na wazungu (Sikuwahi kuona popote pale Msichana mweupe akitamani kuwa mweusi)

3/Sehemu kubwa sana ya wanawake wenye rangi ya chocolate(maji ya kunde) kiasili wana rangi nyeusi, lakini kwa ujanja na utundu wa kutumia aina fulani fulani za matunzo ya ngozi kama mazingira, mafuta, lotion, cream na kemikali na kupelekea kuonekana wana rangi ya chocolate.

3/Rangi ya Chocolate asilia kabisa kwa sasa kwenye jamii ni nadra sana kuipata, wengi wao wameishaichakachua na kuwa nyeupe kabisa, na ni vigumu mno kuweza kugundua. (Kifupi kuna wanawake wengi wanaonekana ni weupe kabisa lakini kiasili ni maji ya kunde)

4/Ngozi, nywele na maumbile ya mwanamke wa Kiafrika wa kisasa yamebeba siri nyingi mno, yanatunzwa na kuboreshwa kwa mazaga zaga mengi kupita maelezo. Kiufupi wanawake wengi wa kiafrika wa kisasa kimwonekano ni Fake, Fake, Fake.....

5/Haijarishi mwanamke ni 'mbaya' kiasi gani lakini kama ana rangi nyeupe basi ataonekana 'mzuri' kwenye jamii, na haijarishi mwanamke ni 'mzuri' kiasi gani lakini kama ngozi yake ni nyeusi basi ataonekana wa 'kawaida' kabisa.


MY TAKE.
Binafsi naona mwanamke mwenye rangi nyeusi asili ndio mzuri(Mrembo) zaidi LAKINI tatizo kubwa sana la wanawake wengi wenye rangi nyeusi asili huwa hawajiamini na kujikubali hivyo mwisho wa siku huishia kuja kujichakachua ili wafananie na weupe na hapo ndipo hitimisho langu linaishia kwa kuona ni bora mwanamke mweupe wa Asili kuliko mwanamke mweusi asiyejiamini na kujikubali au anayetamani kujikachua kufanania na mweupe.
 
Mwanamke mwenye sura nzuri,macho angavu,midomo laini,na pia anayejua kudeka indeed huongeza ashki katika mapenzi.
Kama huna/haujawahi kudate na mwanamke mweupe kisura pole sana,pambana na hali yako
Mtoto white humfanya mwanaume aonekane mjanja na mwenye sound
Si kila mtu anapenda Apple kisa mwonekano wake na lilivyo rahisi kulika, wengine hupenda nanasi ingawa lina mwonekano tofauti ba huhitaji maandalizi ya kumenywa vizuri ili lilike .... Anavyomshangaa asiyewahi kula Apple, ndivyo atakavyoshangaza wengine kwa kutowahi kula Nanasi na anakiongelea vibaya asichokijua ladha yake.


USIKARIRI TUNATOFAUTIANA WANADAMU.
 
Kila mtu na mtazamo wake... Kila mtu na ladha yake...

Wewe taste yako weupe, mwingine taste yake weusi... Ingawa sina hakika mweupe ndiyo yupoje na mweusi ndiyo yupoje...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom