Tuko tofauti saaana aisee! Miki mwanamke mweupe, hapana! Na mpenzi wangu siku akijaribu kujichubua tu, namuacha taslimu!
Umenikosha kwakujiamini mwenzangu [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Hatuwabagui wanawake wenzetu, mi mwenyewe sio mweupe wala si mweusi sema nimeridhika na hali yangu.. sema nikipiga picha mashallah karangi ka kukadangayia kapo
Umenikosha kwakujiamini mwenzangu [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hapana aisee! Mke wa kujichubua,,! Haitakaa itokee!usiombe ukae /ulale bed1 na mwanamke anaejichubua 24hrs ana sweat tu! ukute anatumia calorty maweeeeeee
Nikweli weupe ata dukani 2000 unapata ila weusi utaupata wapi ndotujue weusi tupo juu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hata Mimi mwanaume mweupe Jamani sijui ata wanaladha gani maana sina aptaiti nao
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mbitiyaza unanimaliza mbavu nimecheka khaaa eti kila mtu namalengo yake humu jf duh Mimi lengo kutafuta Kazi wengine wanatafuta weupehahahahhahah Doris Gabriel hujiamini eh!kila NTU ana malengo yake humu jf ohoo!
BAK unamanisha nini hapo? lol ebu fafanua please?Wala usiende huko kabisa, black is always beautiful.
We tukikutana hata hutageuka kuniangalia, maana nina ka weupe, msambwanda wa kati, hips 46 sifai kabisa...Mimi hapana! Mke mweupe hana nafasi na wala hanipi mzuka.... Ugonjwa wangu ni mwanamke mweusi mng'avu, mrefu na umbo la kati na mwenye kiuno cha dondora, sio msambwanda mkuuuuubwa!.. Kaduchu tu.... Hapo nafunga breki za mbele kabisa.....
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mbitiyaza unanimaliza mbavu nimecheka khaaa eti kila mtu namalengo yake humu jf duh Mimi lengo kutafuta Kazi wengine wanatafuta weupe
Sent using Jamii Forums mobile app
We tukikutana hata hutageuka kuniangalia, maana nina ka weupe, msambwanda wa kati, hips 46 sifai kabisa...
Na ukijichubua hawaishi kukusema na kukutoa akiliNyie ndo mnatufanya tujichubue.
Signature yako mkuu inanikumbusha kuna mkaka aliachwa mdogo sana na wazazi wake akiwa mdogo (Walifariki = Yatima) alikosa mapenzi ya pande zote na alinyanyasika kwa ndugu na kielimu pia alikosa in short alikosa haki za msingi kama mtoto.....mda mwingi anapenda sana kupost hii kitu (ujumbe) mbaya zaidi katika kukua akapata dem akazaa nae akafariki akamuachia katoto kachanga.
Pita uende tu mkuu, wala sitahangaika na wewe....!...We tukikutana hata hutageuka kuniangalia, maana nina ka weupe, msambwanda wa kati, hips 46 sifai kabisa...
Najikubali hatariii...muulize QUIGLEY ninavyojua kujikubali na hali yangu... ningetupiamo kapicha sema sura yangu inavyojulikana sasa..Umenikosha kwakujiamini mwenzangu [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app