Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Eti nimekimbia lol! hahahaha ndiyo ukweli huo. Wote bomba sijaona tofauti na kama ulivyosema mvuto ni muhimu sana kuliko rangi ya mhusika . Huwezi kumkubali mwanaume kwa sababu tu ana rangi hii au ile na kwa mimi binafsi siwezi kuanza mtongozo kutokana na rangi tu ya mhusika. Kwanza kuwe na mvuto hilo la weupe, maji ya kunde/maharage, rangi ya chungwa au weupe wala halina umuhimu kihivyo. Nadhani nimeeleweka.

Sawa naona unakimbiaa ahahha

Mi mwanaume yeyote ili mradi handsome tu mwenye mvuto
Awe mweupe ,mweusii,maji ya kunde sawa tu ili mradi anivutie tu
 
Hapo umenena
 
Reactions: BAK
jaman tupo wengi! mie huwa nagEuza shingo jaman !hapana kwakweli wale wamenishika pabayaaaaaa! sasa sijui nahesabiwa 'NAZINI"?
teh teh teh,hamn bhana kugeuza Shingo imo mbona,hata muumba analijua ilo ndo maana halipo katika amri 10
 
Mhhhh kama kuna ukweli hivi ngoja nihakikishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…