Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

Naona umepata demu mpya, ila usipagawe sana hiyo ni mkorogo tu na make up!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
..huyu demu anatoa mku.ndu sanaa...

5a93653c7d3a256d76825105f86fdd41.jpg
 
Naamin wewe utakua ni Msukuma tu,...ndo waliobobea kweny izi tabia,
 
Ushauri wa Bure kwa mdau

Uzuri ni temporary,huyo mpenzi wako hatakuwa hivyo miaka 20 ijayo......urembo unachuja

Haijalishi mwanamke ni mnene/mwembamba,mweupe/mweusi,mrefu au mfupi...... mentality yake ndio muhimu

Anakupenda kiasi na anapenda kufanya mapenzi kwa kiwango gani,vitu vingapi mnaendana.

Mwanamke anayekupenda kwa dhati na anapenda kufanya mapenzi na wewe tu,utafurahia hayo mapenzi mpaka basi.....kuliko mwanamke uliyemchagua kwaajili ya uzuri tu while mambo kibao hamuendani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom