Kuwa single mateso

Mmmhhh hembu ngoja niongee na mzabzab tuangalie kama tunaweza kukusaidia na chochote kitu ununue hata tecno W3 au unasemaje juu ya hilo
Mtakuwa mmeniokoa sanaaa, 😃😃😃 nitajimwambafai kabisa, hata siku nikiwa kwenye ufalme wangu sito wasahahu😊😊
 
It's true kuwa single ni kazi,, hasa ukiwa single and lonely unaweza tamani ujitundike maana Kuna wakati unahitaji mtu wa karibu umueleze jambo lakini ndo huna. Na pia Kuna wakati unatamani kubebika lakini ndo upo single tena.

Pole mkuu
 
Mimi hua nalala kama mti ulioanguka njiani. No goodnight bave, Naamka kama gaidi no good morning babe[emoji28]
Kua singo si lelemama, sura yangu inanifelisha
Mkuu unaniua mbavu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
It's true kuwa single ni kazi,, hasa ukiwa single and lonely unaweza tamani ujitundike maana Kuna wakati unahitaji mtu wa karibu umueleze jambo lakini ndo huna. Na pia Kuna wakati unatamani kubebika lakini ndo upo single tena.

Pole mkuu
Dah ahsante acha tu kaka najisikia vibaya sana sipend kuwa single ni vile tu nifanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…